Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Possibly we ndiye wife material!ππππMimi mwanaume asiejua kudekeza na kubembeleza naonaga kabisa nitakufa siku sio zangu
Yani kuwa strong women ndo sijawezaga ππ
Na ambavyo sio wastaarabu sasa malaya kila kona wana mademWewe kaka mkubwa ni haki yako si uko mambele hata papuchi ukipewa unaipiga kistaarabu sio km wamatumbi wetu huku.!!
Huku ukila chips zake za buku anahakikisha mwendo uliokuja nao sio utakaondoka nao π€£π€£π€£π€£
Picha linaanza umeingia gheto, anakuingiza ndani wewe na viatu vyako. Hizo chips unakula kakusimamia anaona km unachelewa.!!
Sasa si bora umuombe pesa ujue moja lasivyo ataipiga mipigo yote ukose had pesa ya panadol kupoza maumivu..! πΉπΉπΉ
ππ€£ππ€£Mtu ndo Kwanza siku ya kwanza unampanga muonane,,halafu anakwambia uende na CHIPS,NDIZI ZA KUKAUSHWA na TENDE,duhhh mtatuua
ππππππππMtu ndo Kwanza siku ya kwanza unampanga muonane,,halafu anakwambia uende na CHIPS,NDIZI ZA KUKAUSHWA na TENDE,duhhh mtatuua
Hizi ni mentality za kikahaba kabisa, so upewe hela in exchange of what kama sio biashara ni nini?.Mi nikiona Mwanaume hanipi hela
Nikikosa tuu time yake basiKuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?