Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Hatuachi, utatufanyaje?Acheni ulimbukeni na ushamba
Hongera sana..Uhakika π―
Ndio maisha niliyochaguaPole sana, mbona unateseka hivyo π π
Sawa, sitasahau πKila la heri.
Usisahau kuna kesho tamu inapogeuka kuwa chungu .
Nimeiweka kwenye list yangu, nitaicheki πNdio ndio, uliposema hilo neno matchmaker nikakumbuka hio movie..
Kwani yeye anataka cha uvunguni πHaaa haaaa, mtaka cha uvunguni sharti achutame π
Anashindwaje sasa π
Sawa, hayanaga muongozo.Ndio maisha niliyochagua
Iko vizuri ina story nzuri...Nimeiweka kwenye list yangu, nitaicheki π
Daah, mbona hayo majukumu yote unayoyasema tumeyapitia na bado tunabebana, japo ni kweli kuna vitu vinapungua sana umri ukizidi kwenda na mambo yakichanganya. Hata kwetu kuna mambo ya ujanani ambayo either tumeacha au tumepunguza!Bado mko kwenye level za kubebana?,mkipata majukumu kuna muda ndio mtajua nyie ni kaka na dada au ni wapenzi......ada,ujenzi,michango ya harusi,service ya gari,wazazi,shambani weeeee mbona mtakaa wewe na huyo bby muumbe tenzi number 116
Good...π π πDaah, mbona hayo majukumu yote unayoyasema tumeyapitia na bado tunabebana, japo ni kweli kuna vitu vinapungua sana umri ukizidi kwenda na mambo yakichanganya. Hata kwetu kuna mambo ya ujanani ambayo either tumeacha au tumepunguza!
Huwa haachi kutaka mema ya nchi π π€Kwani yeye anataka cha uvunguni π
Dah!!Wasukuma huwa tunaonewa sana bhasi tuwasukuma
Poleni sana watani, ila kweli mnapenda nguo za rangi rangi π πDah!!Wasukuma huwa tunaonewa sana bhasi tu
Anaonekana ni romantic sana, nimependa πAnapenda sana kunikumbatia kwa nyuma yangu then ananibusu shingoni.....wet kiss πππ
Baba Antipas nani huyo anakukeep busy jamani π« πUzi ndio nauona sasa hivi