Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Nani aliyekwambia kuwa Firauni alifia majini mzee?Hebu nioneshe katika Biblia kipengele kinachoongelea habari baada ya kifo cha firauni baharani. yaani Yule aliiojiita Mungu baada ya kufa Majini nini kilitokea ili tujue je kweli inarudia ama inakamiliasha maelezo.
Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.hahaha hakupewa na mashetani, bali hilo night tawi la VATICAN nina ushaidi mkuu!!
Haya unaejua hebu tuambie alifia wapi?Nani aliyekwambia kuwa Firauni alifia majini mzee?
MIMIC nilidhani kagundua kumbe kashushiwa?! Aarghh! Basi hakunA jipya coz kama angegundua yeye hapo sawaaa!, night sawa na mwanafunz kufundishwa jambo na mwalimu then akaenda sehemu ambayo watu hawajui lile jambo na kujitanabaisha et kalivumbua yeye!!Kwanza unatakiwa ujue kuwa Quran sio maneno ya Mtume Muhammad. Ni nineno ya Mungu moja kwa Moja. Malaika Jibril ndio aliokua anafikisha kwake kutoka kwa Mungu. Ndio maana aya nyingi zinaanza kwa Waambie ewe Muhammad ama sema ewe Muhammad. Au anaambiwa Waonye watu wako ewe Muhammad. Hiki sio kitabu chenye waandisha mara Luka kasema hiki, mara matayo kasema hiki,Mara paulo kasema hiki.
Na kuhusu Big Bang ninaimani kubwa kua ninauelewa zaidi kuliko wewe.
Sasa je kama unaifahamu big bang. Sema nikupe andiko ambalo limeshasema hayo miaka zaidi ya 1400 kutoka kwa mtume ambae alikua hajui kusoma wala Kuandika.
News Alert: - Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa.Haya unaejua hebu tuambie alifia wapi?
hahaha POLE YAKO MKUU!! Lait mngejua nyuma ya PAZIA!! Hahaha narudia uislam ni tawi la VATICAN!! Sema ndo hivyo tuu!! Watu wamefungwa hawajui kitu kuhusu DUNIA HII!!Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.
.1.Vatican wanaanudi masanamu,uislamu ibada ya masanamu marufuku.
2.Uislamu katika ibada hawachanganyiki wanawake na wanaume.Vatican wanachanyika.
3.Uislamu wanamhesabu Yesu ni Nabii,Vatican Yesu ni Mungu
4.Wakati wa ibada katika uislamu,wakati wa ibada,mungoz ibada anaelekea mbele kama waumini wengine,Vatikani muongoza ibada anawatizama waumini.
5.Vatican wanaamini Yesu kasulubiwa,uislamu unakataa kusulubiwa kwa Yesu.Nk
Hahaha inawezekana aisee unachooongea ni kweli[emoji1] [emoji1], Ngoja nikuulize jambo, Hivi Unajua Maana Ya 'Amen' 'Amin'? Unajua kwanini Dini zote Ulimwenguni zinaweka neno hilo kwenye Sala Zao?hahaha POLE YAKO MKUU!! Lait mngejua nyuma ya PAZIA!! Hahaha narudia uislam ni tawi la VATICAN!! Sema ndo hivyo tuu!! Watu wamefungwa hawajui kitu kuhusu DUNIA HII!!
kifo cha firauni ni porojo tu zisizo za kweli, filauni hakufa kwenye Bahari kwa gharika! ni uongo mkubwaHebu nioneshe katika Biblia kipengele kinachoongelea habari baada ya kifo cha firauni baharani. yaani Yule aliiojiita Mungu baada ya kufa Majini nini kilitokea ili tujue je kweli inarudia ama inakamilisha maelezo.
Anza Kutema Cheche then Me Ntafuata! MKUU! lakini mambo mengine night siri sana ambazo zinaweza hatarisha AMANI YA ULIMWENGU! Ngoja Nifikirie Kabla sijatema Cheche Maana Vita Vya Kidini Kutuliza Ni Mziki Mnene!Hahaha inawezekana aisee unachooongea ni kweli[emoji1] [emoji1], Ngoja nikuulize jambo, Hivi Unajua Maana Ya 'Amen' 'Amin'? Unajua kwanini Dini zote Ulimwenguni zinaweka neno hilo kwenye Sala Zao?
Kama hakuna Dini ambayo huwa haitaji neno hilo kwenye sala naomba niijue hapa.
UNAJUA SIRI YA AMEN!!?
Kwani Yesu na Mohmed nani aliyetangulia kuja duniani?Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.
.1.Vatican wanaanudi masanamu,uislamu ibada ya masanamu marufuku.
2.Uislamu katika ibada hawachanganyiki wanawake na wanaume.Vatican wanachanyika.
3.Uislamu wanamhesabu Yesu ni Nabii,Vatican Yesu ni Mungu
4.Wakati wa ibada katika uislamu,wakati wa ibada,mungoz ibada anaelekea mbele kama waumini wengine,Vatikani muongoza ibada anawatizama waumini.
5.Vatican wanaamini Yesu kasulubiwa,uislamu unakataa kusulubiwa kwa Yesu.Nk
Ngoja niandae Uzi huu, wenye Akili wataanza kuamka.Anza Kutema Cheche then Me Ntafuata! MKUU! lakini mambo mengine night siri sana ambazo zinaweza hatarisha AMANI YA ULIMWENGU! Ngoja Nifikirie Kabla sijatema Cheche Maana Vita Vya Kidini Kutuliza Ni Mziki Mnene!
Ngoja Nijenge Taifa then nitarudi Kushusha Vitu!! Lakini Mtanisamehe WAFIA DINI!!
Kwani hujui waliovumbua chochote husoma kwanza ndio akajuwa.Hapa Mtume Muhammad,anapewa elimu na Allah.MIMIC nilidhani kagundua kumbe kashushiwa?! Aarghh! Basi hakunA jipya coz kama angegundua yeye hapo sawaaa!, night sawa na mwanafunz kufundishwa jambo na mwalimu then akaenda sehemu ambayo watu hawajui lile jambo na kujitanabaisha et kalivumbua yeye!!
So hata hao wanasayans wakigundua siyo mbaya coz wameendeleza ambavyo havikumaliziwa! Mfano umesema kuhusu big bang but quran haijachambua vyema bali imeelezea tuu! Lakini huku sayansi imechambua kwa kina! Mathalani hata hiyo embroy imetofautiana kwa kiasi chake! Na sayansi!!
# TUSIWE MASHABIKI KWA VITU VYOTE, na ndiyo maana wakina KIRANGA hawatakuja kuamini coz mnakanganyana na MUNGU kutokan na kuuweka udini mbele!!!
Embu tufungue basi ni tawi kivipi maana kama unajuwa halafu unakaa kimya ile ezekieri 3:17-19 itakuhusuhahaha POLE YAKO MKUU!! Lait mngejua nyuma ya PAZIA!! Hahaha narudia uislam ni tawi la VATICAN!! Sema ndo hivyo tuu!! Watu wamefungwa hawajui kitu kuhusu DUNIA HII!!
Kutangulia sio kufika.Kwani Yesu na Mohmed nani aliyetangulia kuja duniani?
Jibu lako linanipa shaka!Kutangulia sio kufika.
Swali lako lilikuwa na shaka,ndio jibu likawa na shaka.Jibu lako linanipa shaka!
Katika mtume aliyepotosha umati hamna kama huyo mwarabu! Eti jua linazama kwenye matope? Si uwongo huo!Aliwahi kusa eti jua huwa linaenda kuzama kwenye Matope,,
Alikuwa muongo sn huyo jamaa,, alikuwa akisimuliwa habr za kwenye Bible kesho yke anakuja kuwadanganya watu wake eti kapata maono.
Kweli kuna watu wanapandisha majini waislamu wanaita maruani. Niliwai kushuhudia jamaa kapandisha mashetani akawa anaongelea kifaransa na kiarabu, lugha ambazo hajawai kuongea. Kwahiyo, lazima tuwe na shaka na nabii wa Qur'an!Kuna Dini nyingi(Horus,Hinduism,Sanatana Dharma,Buddha Dharma,Taoism,Shamanism,Sphinx,Zoroastrianism, Judaism,...)nyingine kutoka B.C.E.(before common era) zilikuwepo kabla ya hizi zetu za christian na moslem,na walikuwa na vitabu na maandiko mengi tu,jaribu kuchunguza ni maandiko gani yameamishwa kutoka kwenye vitabu vya asili kabla ya hivi vyetu?,tambua hata kama alikuwa ajui kusoma na kuandika je alikuwa asikilizi hadithi na yeye kuhadithia wengine?kumbuka kule mapangoni alitokewa na nini kiasi akaweza soma?je kuna watu wangapi leo hii hawajui kiingereza/kijerumani/kiarabu au lugha za asili kabisa ila akiwa na JINN anakuwa na uwezo wa kuongea mambo ya ajabu kabisa?Tusiwe Stagnant na kuona tuko bora kuliko wengine naamini kuna mafundisho,mavumbuzi mengi tu ya asili abayo yalivumbuliwa na mazuri/mabaya kwa dunia hii ya leo na wenye GAP wanaamua kuchukulia ujiko kuwa wavumbuzi.....NAWAKILISHA!
Hili limesjajibiwa,ukiridua kitu kilichojibiwa,ni kuonyesha kiwango kidogo cha elimu.Katika mtume aliyepotosha umati hamna kama huyo mwarabu! Eti jua linazama kwenye matope? Si uwongo huo!
Tafsiri zenu zingine za Qur'an mmeandika tope. Wewe vipi wewe?Hii imeshajibiwa,soma nyuzi zilizopita.Mtume Muhammad hakusema jua linazama kwenye tope wala Qur'an haikuandikwa hivyo.
Hiki ni kisa cha mtu,ambaye alifika eneo,kwa upeo wa mcho yake akaona jua linazama kwenye tope.Hiyu mtu ndio aliona,na hii ni sayansi,kwamba binadamu ana upeo wa kuona,yaani uonaji wa binadamu una mbali fulani,sio zaidi ya hapo.