Kuna Dini nyingi(Horus,Hinduism,Sanatana Dharma,Buddha Dharma,Taoism,Shamanism,Sphinx,Zoroastrianism, Judaism,...)nyingine kutoka B.C.E.(before common era) zilikuwepo kabla ya hizi zetu za christian na moslem,na walikuwa na vitabu na maandiko mengi tu,jaribu kuchunguza ni maandiko gani yameamishwa kutoka kwenye vitabu vya asili kabla ya hivi vyetu?,tambua hata kama alikuwa ajui kusoma na kuandika je alikuwa asikilizi hadithi na yeye kuhadithia wengine?kumbuka kule mapangoni alitokewa na nini kiasi akaweza soma?je kuna watu wangapi leo hii hawajui kiingereza/kijerumani/kiarabu au lugha za asili kabisa ila akiwa na JINN anakuwa na uwezo wa kuongea mambo ya ajabu kabisa?Tusiwe Stagnant na kuona tuko bora kuliko wengine naamini kuna mafundisho,mavumbuzi mengi tu ya asili abayo yalivumbuliwa na mazuri/mabaya kwa dunia hii ya leo na wenye GAP wanaamua kuchukulia ujiko kuwa wavumbuzi.....NAWAKILISHA!