Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Hebu nioneshe katika Biblia kipengele kinachoongelea habari baada ya kifo cha firauni baharani. yaani Yule aliiojiita Mungu baada ya kufa Majini nini kilitokea ili tujue je kweli inarudia ama inakamiliasha maelezo.
Nani aliyekwambia kuwa Firauni alifia majini mzee?
 
hahaha hakupewa na mashetani, bali hilo night tawi la VATICAN nina ushaidi mkuu!!
Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.
.1.Vatican wanaanudi masanamu,uislamu ibada ya masanamu marufuku.
2.Uislamu katika ibada hawachanganyiki wanawake na wanaume.Vatican wanachanyika.
3.Uislamu wanamhesabu Yesu ni Nabii,Vatican Yesu ni Mungu
4.Wakati wa ibada katika uislamu,wakati wa ibada,mungoz ibada anaelekea mbele kama waumini wengine,Vatikani muongoza ibada anawatizama waumini.
5.Vatican wanaamini Yesu kasulubiwa,uislamu unakataa kusulubiwa kwa Yesu.Nk
 
Kwanza unatakiwa ujue kuwa Quran sio maneno ya Mtume Muhammad. Ni nineno ya Mungu moja kwa Moja. Malaika Jibril ndio aliokua anafikisha kwake kutoka kwa Mungu. Ndio maana aya nyingi zinaanza kwa Waambie ewe Muhammad ama sema ewe Muhammad. Au anaambiwa Waonye watu wako ewe Muhammad. Hiki sio kitabu chenye waandisha mara Luka kasema hiki, mara matayo kasema hiki,Mara paulo kasema hiki.
Na kuhusu Big Bang ninaimani kubwa kua ninauelewa zaidi kuliko wewe.
Sasa je kama unaifahamu big bang. Sema nikupe andiko ambalo limeshasema hayo miaka zaidi ya 1400 kutoka kwa mtume ambae alikua hajui kusoma wala Kuandika.
MIMIC nilidhani kagundua kumbe kashushiwa?! Aarghh! Basi hakunA jipya coz kama angegundua yeye hapo sawaaa!, night sawa na mwanafunz kufundishwa jambo na mwalimu then akaenda sehemu ambayo watu hawajui lile jambo na kujitanabaisha et kalivumbua yeye!!
So hata hao wanasayans wakigundua siyo mbaya coz wameendeleza ambavyo havikumaliziwa! Mfano umesema kuhusu big bang but quran haijachambua vyema bali imeelezea tuu! Lakini huku sayansi imechambua kwa kina! Mathalani hata hiyo embroy imetofautiana kwa kiasi chake! Na sayansi!!
# TUSIWE MASHABIKI KWA VITU VYOTE, na ndiyo maana wakina KIRANGA hawatakuja kuamini coz mnakanganyana na MUNGU kutokan na kuuweka udini mbele!!!
 
Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.
.1.Vatican wanaanudi masanamu,uislamu ibada ya masanamu marufuku.
2.Uislamu katika ibada hawachanganyiki wanawake na wanaume.Vatican wanachanyika.
3.Uislamu wanamhesabu Yesu ni Nabii,Vatican Yesu ni Mungu
4.Wakati wa ibada katika uislamu,wakati wa ibada,mungoz ibada anaelekea mbele kama waumini wengine,Vatikani muongoza ibada anawatizama waumini.
5.Vatican wanaamini Yesu kasulubiwa,uislamu unakataa kusulubiwa kwa Yesu.Nk
hahaha POLE YAKO MKUU!! Lait mngejua nyuma ya PAZIA!! Hahaha narudia uislam ni tawi la VATICAN!! Sema ndo hivyo tuu!! Watu wamefungwa hawajui kitu kuhusu DUNIA HII!!
 
Hahaha inawezekana aisee unachooongea ni kweli[emoji1] [emoji1], Ngoja nikuulize jambo, Hivi Unajua Maana Ya 'Amen' 'Amin'? Unajua kwanini Dini zote Ulimwenguni zinaweka neno hilo kwenye Sala Zao?
Kama hakuna Dini ambayo huwa haitaji neno hilo kwenye sala naomba niijue hapa.
UNAJUA SIRI YA AMEN!!?
 
Hebu nioneshe katika Biblia kipengele kinachoongelea habari baada ya kifo cha firauni baharani. yaani Yule aliiojiita Mungu baada ya kufa Majini nini kilitokea ili tujue je kweli inarudia ama inakamilisha maelezo.
kifo cha firauni ni porojo tu zisizo za kweli, filauni hakufa kwenye Bahari kwa gharika! ni uongo mkubwa
 
Hahaha inawezekana aisee unachooongea ni kweli[emoji1] [emoji1], Ngoja nikuulize jambo, Hivi Unajua Maana Ya 'Amen' 'Amin'? Unajua kwanini Dini zote Ulimwenguni zinaweka neno hilo kwenye Sala Zao?
Kama hakuna Dini ambayo huwa haitaji neno hilo kwenye sala naomba niijue hapa.
UNAJUA SIRI YA AMEN!!?
Anza Kutema Cheche then Me Ntafuata! MKUU! lakini mambo mengine night siri sana ambazo zinaweza hatarisha AMANI YA ULIMWENGU! Ngoja Nifikirie Kabla sijatema Cheche Maana Vita Vya Kidini Kutuliza Ni Mziki Mnene!
Ngoja Nijenge Taifa then nitarudi Kushusha Vitu!! Lakini Mtanisamehe WAFIA DINI!!
 
Uislamu na Vatican ni vitu viwili tofauti kabisa.
.1.Vatican wanaanudi masanamu,uislamu ibada ya masanamu marufuku.
2.Uislamu katika ibada hawachanganyiki wanawake na wanaume.Vatican wanachanyika.
3.Uislamu wanamhesabu Yesu ni Nabii,Vatican Yesu ni Mungu
4.Wakati wa ibada katika uislamu,wakati wa ibada,mungoz ibada anaelekea mbele kama waumini wengine,Vatikani muongoza ibada anawatizama waumini.
5.Vatican wanaamini Yesu kasulubiwa,uislamu unakataa kusulubiwa kwa Yesu.Nk
Kwani Yesu na Mohmed nani aliyetangulia kuja duniani?
 
Anza Kutema Cheche then Me Ntafuata! MKUU! lakini mambo mengine night siri sana ambazo zinaweza hatarisha AMANI YA ULIMWENGU! Ngoja Nifikirie Kabla sijatema Cheche Maana Vita Vya Kidini Kutuliza Ni Mziki Mnene!
Ngoja Nijenge Taifa then nitarudi Kushusha Vitu!! Lakini Mtanisamehe WAFIA DINI!!
Ngoja niandae Uzi huu, wenye Akili wataanza kuamka.
 
MIMIC nilidhani kagundua kumbe kashushiwa?! Aarghh! Basi hakunA jipya coz kama angegundua yeye hapo sawaaa!, night sawa na mwanafunz kufundishwa jambo na mwalimu then akaenda sehemu ambayo watu hawajui lile jambo na kujitanabaisha et kalivumbua yeye!!
So hata hao wanasayans wakigundua siyo mbaya coz wameendeleza ambavyo havikumaliziwa! Mfano umesema kuhusu big bang but quran haijachambua vyema bali imeelezea tuu! Lakini huku sayansi imechambua kwa kina! Mathalani hata hiyo embroy imetofautiana kwa kiasi chake! Na sayansi!!
# TUSIWE MASHABIKI KWA VITU VYOTE, na ndiyo maana wakina KIRANGA hawatakuja kuamini coz mnakanganyana na MUNGU kutokan na kuuweka udini mbele!!!
Kwani hujui waliovumbua chochote husoma kwanza ndio akajuwa.Hapa Mtume Muhammad,anapewa elimu na Allah.
 
Aliwahi kusa eti jua huwa linaenda kuzama kwenye Matope,,

Alikuwa muongo sn huyo jamaa,, alikuwa akisimuliwa habr za kwenye Bible kesho yke anakuja kuwadanganya watu wake eti kapata maono.
Katika mtume aliyepotosha umati hamna kama huyo mwarabu! Eti jua linazama kwenye matope? Si uwongo huo!
 
Kuna Dini nyingi(Horus,Hinduism,Sanatana Dharma,Buddha Dharma,Taoism,Shamanism,Sphinx,Zoroastrianism, Judaism,...)nyingine kutoka B.C.E.(before common era) zilikuwepo kabla ya hizi zetu za christian na moslem,na walikuwa na vitabu na maandiko mengi tu,jaribu kuchunguza ni maandiko gani yameamishwa kutoka kwenye vitabu vya asili kabla ya hivi vyetu?,tambua hata kama alikuwa ajui kusoma na kuandika je alikuwa asikilizi hadithi na yeye kuhadithia wengine?kumbuka kule mapangoni alitokewa na nini kiasi akaweza soma?je kuna watu wangapi leo hii hawajui kiingereza/kijerumani/kiarabu au lugha za asili kabisa ila akiwa na JINN anakuwa na uwezo wa kuongea mambo ya ajabu kabisa?Tusiwe Stagnant na kuona tuko bora kuliko wengine naamini kuna mafundisho,mavumbuzi mengi tu ya asili abayo yalivumbuliwa na mazuri/mabaya kwa dunia hii ya leo na wenye GAP wanaamua kuchukulia ujiko kuwa wavumbuzi.....NAWAKILISHA!
Kweli kuna watu wanapandisha majini waislamu wanaita maruani. Niliwai kushuhudia jamaa kapandisha mashetani akawa anaongelea kifaransa na kiarabu, lugha ambazo hajawai kuongea. Kwahiyo, lazima tuwe na shaka na nabii wa Qur'an!
 
Katika mtume aliyepotosha umati hamna kama huyo mwarabu! Eti jua linazama kwenye matope? Si uwongo huo!
Hili limesjajibiwa,ukiridua kitu kilichojibiwa,ni kuonyesha kiwango kidogo cha elimu.
Aliyeona ni mtu aliyesimuliwa katika kisa,huyu mtu ndio aliona jua likizama kwenye tope.Na hii ni sayansi kuonyesha binadamu ana upeo wa mwisho kuona.
 
Hii imeshajibiwa,soma nyuzi zilizopita.Mtume Muhammad hakusema jua linazama kwenye tope wala Qur'an haikuandikwa hivyo.
Hiki ni kisa cha mtu,ambaye alifika eneo,kwa upeo wa mcho yake akaona jua linazama kwenye tope.Hiyu mtu ndio aliona,na hii ni sayansi,kwamba binadamu ana upeo wa kuona,yaani uonaji wa binadamu una mbali fulani,sio zaidi ya hapo.
Tafsiri zenu zingine za Qur'an mmeandika tope. Wewe vipi wewe?
 
Back
Top Bottom