Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Hakuna watu waliokuwa mbali kiubunifu kama waarabu. Katika vitu vilivyowafanya waarabu wasiwe tena watafiti wakubwa ni viwili:-

1) UMAARUFU WA MUHAMMAD S.A.W NA UJAJI WA QUR'AN

(Kwasababu alidevelop lifestyle na civilization ikiwepo ya dini ya kiislam iliyowafanya waarabu kutumia muda mwingi kwa kuswali na jihad only)

2) UGUNDUZI WA MAFUTA NA UTAJIRI WAKE

Historically, baada ya waarabu kuwa na stock kubwa sana ya mafuta katika nchi zao ikaidumaza ile spirit ya utafiti na ugunduzi wa mwanzoni kama ya kipindi cha Algebra & Elimu za nyota za angani.

Wengi walioegemea ktk dini pekee watanishambulia ila huo ni ukweli.
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Hapa hawatakuelewa na watakushambulia haswa.
 
Kwa hiyo tuseme yesu hakutahiriwa????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nauliza 2
Mbona unakuwa na low thinking capacity?....yeye kuandika kuwa kutahiriwa kulikuwepo enzi na enzi Africa kabla ya Mtume kumejustify kuwaYesu hakutahiriwa?

Yesu alitahiriwa akiwa na siku 8 ila sioni uhusiano wa swali lako na post uliyoiquote.
 
Tatizo una panic kama utaki kua Quran imetaja vingi na science ya leo ime kuja kuvivumbua mfano miaka ya kina Albert ndo wamekuja kujua mambo ya black holes space and time ila kumbe vilikuwepo kwenye kitabu na Mungu kaeleza 1400 iliopita asa una bisha nini, umeomba ya pharaoh hio hapo aya ya kuifadhiwa kwake kama fundisho ili nyie leo mnaokufuru muogope. mpate pakujifunzia What, now! When previously you rebelled and were one of the corrupters? Today we will preserve your body so you can be a Sign for people who come after you. Surely many people are heedless of Our Signs." (Qur'an, 10:91-92)
Kwahiyo unataka tuamini kitu gani?

Kwamba Quran aliyoshushiwa Mtume ndio ilianza kuyataja hayo sio?

So unataka tumpraise Mtume ama Mungu aliyemdondoshea quran?

Hebu funguka kisha tuendelee.
 
usibishane nae huyo anajua ukweli ila anajifanya bila bila ila ukweli anajua. atoe mstari wowote kwenye bible ambao ume kua proved scientific kua kweli alafu aseme mie namtolea aya hapa kibao ya mambo yamekua proved katika hi century ya 20
Weweweeee usituletee tabia zile za mbumbumbu mbwabwajaji

Hebu msaidie nduguyo katika imani kutuwekea hapa hiyo picha/clip ya Farao/Firauni aliyeongelewa kwenye quran kuwa mwili wake hautokauka bali atabaki kuwa mbichi mpaka tushuhudie siye.

Near, waiting to see...
 
Hamna evidence inayoonyesha kuwa hapo awali kulishakuwa na chemists kama wa hivi morden
Umesomea wp mkuu,unajua galileo galilii,Isack Newton,Ncolous Carpenicus,Michael Faraday,walizaliw lini na wakafa lini?kuwa serious bac!!!
 
Hakuna watu waliokuwa mbali kiubunifu kama waarabu. Katika vitu vilivyowafanya waarabu wasiwe tena watafiti wakubwa ni viwili:-

1) UMAARUFU WA MUHAMMAD S.A.W NA UJAJI WA QUR'AN

(Kwasababu alidevelop lifestyle na civilization ikiwepo ya dini ya kiislam iliyowafanya waarabu kutumia muda mwingi kwa kuswali na jihad only)

2) UGUNDUZI WA MAFUTA NA UTAJIRI WAKE

Historically, baada ya waarabu kuwa na stock kubwa sana ya mafuta katika nchi zao ikaidumaza ile spirit ya utafiti na ugunduzi wa mwanzoni kama ya kipindi cha Algebra & Elimu za nyota za angani.

Wengi walioegemea ktk dini pekee watanishambulia ila huo ni ukweli.
Sio kweli nchi za kiarabu zina wasomi,kuliko unavyofikiria wewe mwenyewe.
 
Toa evidence za kipekee na isionekane imetajwa ktk vitab vlvyotangulia kama taurat na manabii,ikionekana bac atakuwa ame cop na kupest maana hvyo vtab vlitangulia miaka mingi kabla yke

Weka kimoja unachokisema ni kopi. Ili tukuamini.
 
Kuna mbingu saba kwenye universe kweli?Mtume muongo na amefeli kama walivyo wenzake akina Yesu na Saibaba nk...mtu sio mwanasayansi anajifanya anajua sayansi,what a shame to mtume...

Yaani wanadamu sijui lini tutakataa kudanganywa na mmoja wapo wa wanaadamu wenzetu eti anajifanya kuna "mungu" somewhere kampa "maono".

Uwongo uwongo tu!

Usilolielewa ni usiku wa kiza.

Jinsi unavyoandika inanitia mashaka kama nnaweza kukufahamisha kuhusu sayansi na ukaelewa.

Isiwe shida, soma hapa utueleze umeelewa ni nini na kipi unachokipinga na kukisoma kuwa ni uongo?

Ukisema tu, "uongo" bila kuuonesha huo uongo unakuwa wewe ndiye muongo.

Jisomee mwenyewe wana sayansi waliobobea katika Nyanja zao wanasema nini: Seven Heavens in Quran
 
hahaha bibilia hippi agano la kale au la sasa? maana mna vitabu vingi kila kukicha mna edit, Quran tangu 1400 iko vile vile na vitu vingi vimekua proved scientifically. basi hata bible ime copy kwenye vitabu vya nyuma
Acha dhihaka...!ujue Quran ni copy and paste kutoka kwenye bible
 
Kwahiyo unataka tuamini kitu gani? Nataka uamini kua Quran is a miracle from God, na ni kwajili ya wanadamu Muongozo kwao ili wapate kuongoka.

Kwamba Quran aliyoshushiwa Mtume ndio ilianza kuyataja hayo sio? sio ndo ilianza kuyataja hayo yalikuwepo before Quran ila imeleza tulio kua hatu ya fahamu mpaka mbele tuna kuja kuona mpya kumbe yalikuwepo yameelezewa na note Quran is no a book of science.

So unataka tumpraise Mtume ama Mungu aliyemdondoshea quran? nataka mpraise Mwenyezi Mungu tuh kua ni yeye peke yake na yeye ndo anapaswa kuabudiwa hana baba wala mama walaa mwana na wala mshirika kwenye kazi zake na mambo yake, asinzi wala kuchoka na hana hafananae. na hio ndo ilikua kazi ya mitume yote iliotangulia kuwa famisha watu kua Mungu ni moja kwanzia mtume wa kwanza hadi wa mwisho kazi yao kubwa ni hio yani usimshirikishe Mungu na mambo mengine. Ndo nimesha funguka mkuu.

Hebu funguka kisha tuendelee.[/QUOTE]
 
Tumi logic ya kawaida google mwili wa pharaoh utaona sio mbichi ila umekauka na kitu ambacho una ufanya uwe kitu cha ajabu mwili wake hakua mummified kama mili ya watu wa misri walio kua wakifa wanazikwa kwa kuifadhiwa yeye hakufanyiwa hivyo mwili wake ulizamishwa baharini na ukaja kukutwa pembezoni mwa beach kitu kama miaka ya 1889 kama sija kosea hivi. na wana science walifanya uchunguzi hadi mmoja kuja kuona/kuambiwa aya kwenye Quran ali badilisha dini kua muislam maana aliona kitu so cha kawaida. na mungu alisema ataweka alama wazi ili wasiopata kuamini wamini.
 
Tumi logic ya kawaida google mwili wa pharaoh utaona sio mbichi ila umekauka na kitu ambacho una ufanya uwe kitu cha ajabu mwili wake hakua mummified kama mili ya watu wa misri walio kua wakifa wanazikwa kwa kuifadhiwa yeye hakufanyiwa hivyo mwili wake ulizamishwa baharini na ukaja kukutwa pembezoni mwa beach kitu kama miaka ya 1889 kama sija kosea hivi. na wana science walifanya uchunguzi hadi mmoja kuja kuona/kuambiwa aya kwenye Quran ali badilisha dini kua muislam maana aliona kitu so cha kawaida.
Acha jazba kaka, we unazani kitabu chako ndio cha kwanza kuyasema hayo aliyoyasema mtoa mada?
sio cha kwanza je bible imeandika haya na ika thibitishwa ni kweli????
 
Sikukuambia kuhusu kuvuna,asali,kujuwa kama asali ilikuwa ikitengenezwa na nyuki mwanamke sio nyuki mwanamme.
Swali langu,Qur'an ilitaja nyuki mwanamke ndiye anayetengeneza asali,ni wapi katika rejea kunakoonyesha nyuki mwanamke anatengeneza asali,kabla Qur'an kutaja?
Tatizo ana kurupuka hana hoja ana copy kwenye google. science enyewe imekuja kugundua juzi juzi kua nyuki mwanamke ndo anae tengeneza asali na sio dume. anaonesha picha za nyuma watu na activity zao ila walikua awajui ni jike ndo mtambo mzima wa mapishi.
 
Tumi logic ya kawaida google mwili wa pharaoh utaona sio mbichi ila umekauka na kitu ambacho una ufanya uwe kitu cha ajabu mwili wake hakua mummified kama mili ya watu wa misri walio kua wakifa wanazikwa kwa kuifadhiwa yeye hakufanyiwa hivyo mwili wake ulizamishwa baharini na ukaja kukutwa pembezoni mwa beach kitu kama miaka ya 1889 kama sija kosea hivi. na wana science walifanya uchunguzi hadi mmoja kuja kuona/kuambiwa aya kwenye Quran ali badilisha dini kua muislam maana aliona kitu so cha kawaida.

sio cha kwanza je bible imeandika haya na ika thibitishwa ni kweli????

1: Sio kweli na wala hakuna mwili wa pharaoh uliokutwa baharini, weka link hapa tuone, hizo ni story za uongo za kujustify makosa yaliyo ndani ya Quran

2: hapa hatuzungumzii Biblia, bora ungefungua maada nyingine yenye kueleza sayansi iliyomo ndani ya Biblia
 
Back
Top Bottom