Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hakuna watu waliokuwa mbali kiubunifu kama waarabu. Katika vitu vilivyowafanya waarabu wasiwe tena watafiti wakubwa ni viwili:-1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
1) UMAARUFU WA MUHAMMAD S.A.W NA UJAJI WA QUR'AN
(Kwasababu alidevelop lifestyle na civilization ikiwepo ya dini ya kiislam iliyowafanya waarabu kutumia muda mwingi kwa kuswali na jihad only)
2) UGUNDUZI WA MAFUTA NA UTAJIRI WAKE
Historically, baada ya waarabu kuwa na stock kubwa sana ya mafuta katika nchi zao ikaidumaza ile spirit ya utafiti na ugunduzi wa mwanzoni kama ya kipindi cha Algebra & Elimu za nyota za angani.
Wengi walioegemea ktk dini pekee watanishambulia ila huo ni ukweli.