Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

Mwanaume anayekupenda huwitaji kumuomba hela yeye mwenyewe atakuhudumia bila hata wewe kumuomba sijui kwanini hili mademu wengi hawalijui
Atajiongeza. Lkn Kuna wengine anakupenda vizuri tu, Ila hawez kujiongeza.
 
I kid u not my dear....mwanamke ninayempenda nitamfanyia shopping suprise za bure kumtumia hela without no reason...yaani unataka awe na furaha tuu
Safii, endelea na moyo huo huo. [emoji13]
 
Hiii nimeipenda sana huu ushauri ni mzuri kama msichana unahitaji kuolewa ila kama hauhitaji kuolewa basi endelea kuwa omba omba wa pesa
 
Asipokuomba ww, wataka akamuombe nani ss[emoji3]. Hasa akiwa jobless
Kabla yangu mimi alikuwa anaishi vipi maana kabla yangu mimi alikuwa na maisha yake sasa asibadilishe maisha kwasababu kanipata asifanye hivyona pia kama atakiwa anategemea wanaume kwahiyo hawez huyo msichana hata siku moja kuwa single maana akiwa single atakosa wa kumuhudumia ushauri wangu unapoingia kwenye mahusiano usiwe tegemezi na usisahau maisha yako kabisa sio kwasababu umepata mwanaume then ndio unaanza mara chips ,mara kusuka
 
Kama hana hela na ana shida nayo?

Mwanamke anaejitambua haombi hela. Simple as that.
Hata kama anaomba hela inategemea yuko katika mazingira gani. Mwanamke mwenye kujielewa ana mikakati tayari ya kukabili changamoto zake ana mishe zake anafanya. Huyu akiomba kupigwa tafu sio swala na lazma ataomba hela ya kueleweka kufanyia swala lenye tija sio wale anaomba hela ili akasuke nywele fashion mpya na kununulia simu unaona kabisa huyu kichwa ni stoo ya meno na shamba la nywele
 
Haha, mkuu imagine unadate mdada hana kipato/ajira, akiwa na shida asikuombe?
Kuwa na kipato ni sign ya kwanza ya mtu ambaye kichwa chake kinafanya kazi vizuri hata kama ni hela kidogo ila kuwa na mfumo wa kujiingizia hela tu. Kama hana basi lazma akushirikishe katika hilo mapema ila sio eti umeomba namba mnawasiliana after certain hours anaanza baby nina njaa ntumie hela😀
 
Wanawake aina hio wanakera sana yani. Mwanamke mzuri ni yule anayejitegemea hasa kiuchumi awe na akili tu ya kujitaftia kwa njia halali maana wengine anajitaftia kupitia umalaya na kudanga.

Inapendeza ambapo mwanamke anakuja kwako kama asset na sio liability. Mwanamke ana mipango yani ukikaa nae anaongea sensible matters unaona kabisa hiki kichwa kinafaa kwa matumizi ya muda mrefu.

Unakuta mwanamke anawaza wigi za jonijo na kunyoa nywele kwa cutting master, iphone macho matatu mipango yake mingi ni ya uharibifu wa hela tu sio wealth generation. Anaomba omba hela since day 1 yani hela ya pedi, vocha, kula, birthday hapa jua kabisa mtu hakuna. Honga umpige pumbu 1 time kisha alambe block kama hivi ndio vipimo vya upendo.
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Mimi kuna mwanamke akiomba elfu 5 simpi maana najua ni ujinga tu, ila saa hiyo hiyo mwenzie akiomba laki natuma na ya kutolea.
 
Mwanamke anayekupenda hawezi kuomba hela akiogopa kukupoteza ila na wewe mwanaume jiongeze unapoona hali sio nzuri kwa mpenzi wako
 
Mimi nimeshafeli ktk kipimo cha pesa.

Kabla sijakula mzigo nimepigwa kizinga cha Kodi miezi 6.

100k mara 6= 600,0000/.


Nimetumia mbinu zote za kibaharia nimle kabla sijalipia nimeshindwa.

Wanawake wanachojuwa wao pesa tu..
Ndy upendo.
Hakupendi huyo kimbia mpaka vumbi
 
Tukiwaomba papuchi wanajua haupo serious! Na sisi tukinyimwa tunajua Kuna mtu anapewa!.. hapo ndipo kinapoumanaga..[emoji23]

Ila hii dunia bila changamoto hatuendi!
Naaam[emoji28][emoji106]
 
Mwamba Umemjibu vizuri Sana bidada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…