Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

Tukiwaomba papuchi wanajua haupo serious! Na sisi tukinyimwa tunajua Kuna mtu anapewa!.. hapo ndipo kinapoumanaga..[emoji23]

Ila hii dunia bila changamoto hatuendi!

Mzalamo og[emoji16]
 
Kwa sasa mi naangalia uzuri wa mtu kabla sijatoa hela yangu. Na pia unaliwa kwanza ndo hela inafata kama hutaki pita hivi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu umenifurahisha maana na mimi ndio principle ninayotumia siku hizi.

Kama demu ni mkali haswa, akianza kuomba omba hela nampa mpa, ila ntatumia mbinu zote za kijeshi nihakikishe namla haraka sana na ndio hanioni tena..!

Kama ni wa kawaida yani ata hiyo msg ya kuomba hela sijibu na mawasiliano ndio yameishia hapo.
 
Dah sasa jamani hawa wakawaida sii watakufa njaaa🤣🤣🤣🤣
 
Watumie kipimo gani sasa? Toa na suluhisho.

Ila suala la kuomba pesa liko pale paleeee.
 
Mwanaume anayekupenda huwitaji kumuomba hela yeye mwenyewe atakuhudumia bila hata wewe kumuomba sijui kwanini hili mademu wengi hawalijui
Nadhani kuna vitu vingi dada zetu hawajui au wanajua ila wanasukumwa na tamaa.

Mfano;
1. Mwanamke anapoanza kuomba omba hela, sisi wanaume automatically tunamuweka kwenye "category" fulani, tuiite category A. Kwahiyo kuanzia hapo hatumchukulii tena serious tunajua huyu ni walewale. Tunachofanya ni kuweka kiwango ambacho hata alie shida vipi hatutoi zaidi ya hiyo au hatutoi kabisa.

2.Mwanamke asipoanza kuomba omba hela, anajijengea heshima kubwa sana kwetu, na tunamuweka kwenye "category" nyingine kabisa, tuiite category B. Mwanamke wa kundi hili, siku akiomba hela lazima ifanyike juu chini hiyo hela apatiwe, maana tunajua atakua na shida genuine.

3. In the long run, mwanamke wa category B anaweza kuja kuvuna sio tu hela, bali na manufaa mengine mengi sana kwetu kuliko yule wa category A. Ukiona mwanamke anajengewa nyumba, ananunuliwa gari, anafunguliwa biashara nk ujue huyu sio wale wa kuomba omba elfu 10, 20, 50, vocha nk.
 
Mwamba umeongea point kubwa natamani huu ujumbe wauone
 
Mmmh hii paragraph ya mwisho hiyo, nahisi Kuna kitu kimepungua
 
Back
Top Bottom