Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

Wanawake omba omba kwao wana historia ya kimaskin, mtu ambae wazaz wake walijaliwa pesa na anazishika aombe pesa ya mwanaume ya nn? Unless mwanaume atake kumpa mwenywe
Yes, umenena... Mwanaume akupe mwenyewe pesa. Lakini tukisema eti tutumie pesa kama kipimo Cha kuangalia kama anakupenda au lah mmh tutatembea na wengi. Na muda mwengine hata si kuwa masikini, Bali ni hulka tu ya baadhi ya wadada, kwmba akishakuwa na mwanaume basi ndiyo anaona matatizo yake yameisha hapa Duniani... Kuna msululu wa wanaume kwasbb ya kuwaomba pesa tu.

Na jamii nyengine, ukiwa na mwanamume ambaye hakupi kupi pesa, huwa wanauliza kabisa, ss kama mwanamume mwenyewe Hana msaada kwako wa kipesa, ww unakuwa nae wa nini????.
 
Kwa sasa mi naangalia uzuri wa mtu kabla sijatoa hela yangu. Na pia unaliwa kwanza ndo hela inafata kama hutaki pita hivi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
(1) Kuomba pesa; Hiki ndiyo kipimo cha kwanza ambacho mabinti wengi wanakitumia, wanaamini mwanaume akikupa pesa basi anakupenda. Utasikia “Muombe pesa ujue kama yuko siriasi na wewe au la?”

Anaweza kukupa pesa kila siku na bado asiwe na mpango na wewe . Najua mwanaume mbahili anaboa, ila usimpime kwakua anakupa pesa, angalia namna anavyojali, kama angalau analipia chakula na nauli hana shida si lazima akupe pesa! Upendo wa kweli hautegemei pesa. Anaweza kutoa pesa, anapata mbunye na akakuacha anaenda kutafuta mwengine.

(2) Kumuambia mwanaume una mimba yake akakubali kulea; Hiki kimetengeneza single mother wengi, unakuta mwanaume alishakuambia umzalie, unamuambia kwanza unamimba ili kuona atafanyaje? Basi akiikubali unaona anakupenda unabeba kweli!

Dada iko hivi, mimba inakataliwa na miezi 6, anaweza kukubali mwanzo ili usitoe ila ukifikisha miezi 6 anajua hutoi anakuacha utalea mwenyewe anawaza kifikisha miaka 7 nakuja kuchukua mwanangu, hivyo hiki si kipimo kabisa.

Mwingine anaweza kukataa kwakua hajajipanga ila baadaye akafikiria na kuona mtoto Baraka akakubali, hivyo achana na kipimo hiki, kukubali au kukataa haina uhusiano na upendo. Au Ile unaona umekaa muda mrefu kwenye uchumba sugu ,basi unaona njia sahihi ni kubeba mimba Ili Huyo mwanaume akukubali mazima. Dada unapotea,acha kabisa mitego km hiyo, upelekea kumtesa mtoto mwisho wa siku.

(3) Mwanaume kujitambulisha kwenu au kukupeleka kwao; Hiki nacho ni cha hovyo kabisa, kuna wanaume ambao hawajali kujitambulisha hata kwa wanawake 20, wengine familia zao hata hazilali, Mama anapelekewa wanawake hata 10 na haulizi chochote tena unakuta anakuomba na pesa, hapo imekula kwako.

Epuka aibu ndogondogo za kutambulisha mwanaume halafu anakuacha, inakua uchumba sugu.

Tafuta kipimo kengine Cha kupimia upendo wa mwanaume, lakini si pesa, mimba Wala kutambulishwa kwao. Mwanaume akupendaye utaona tu upendo wake, hata ipite miezi 5, 6 Mpk 7. Hao wa hivyo vipimo wakimaliza tu shida zao ni ndukiiiii [emoji2091][emoji2091][emoji2091][emoji16], humuoni tena [emoji13][emoji57]
ungewapa suluhisho
 
Hakuna anayependa, sema nyinyi waongo. Mtu anakuwa hajui kama ni mume wa mtu au mpenzi wa mtu.
Wee nyie wenyewe mnasema bora kudate na mume wa mtu maana wanajua kujali na hawana papara na mbususu kama sie vijana. Mnakutana leo kesho wataka mbususu
 
Wale wanaokaribia kukata tamaa mimi nawapokea kwa mikono miwili.
 
Wee nyie wenyewe mnasema bora kudate na mume wa mtu maana wanajua kujali na hawana papara na mbususu kama sie vijana. Mnakutana leo kesho wataka mbususu
Mi siwezi
 
William

Mwamba fulani hivi ambae akisoma huu uzi anabaki akitabasamu tu
 
Back
Top Bottom