Predux
Member
- May 31, 2022
- 84
- 251
Npe Namba ya nida plz babebabe naomba hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Npe Namba ya nida plz babebabe naomba hela
imeisha iyoo nakuleteaNpe Namba ya nida plz babe
Muda mwengine huwa si kipimo. Ila huwa ni njia ya kukukimbiza... Anaweza Akala pesa zako na mbunye usipate vile vile.Mimi nimeshafeli ktk kipimo cha pesa.
Kabla sijakula mzigo nimepigwa kizinga cha Kodi miezi 6.
100k mara 6= 600,0000/.
Nimetumia mbinu zote za kibaharia nimle kabla sijalipia nimeshindwa.
Wanawake wanachojuwa wao pesa tu..
Ndy upendo.
😁😁😁😁ni kwel[emoji16] nimeipenda.. Ila unaweza ukatambulishwa na akaolewa mwengine ujue[emoji19][emoji13]
Unanunuaje bidhaa bila kuijaribu..😁Hii Dunia ngumu Sana [emoji28]... Hapo kwnye papuchi ni maamuzi ya m2 kutoa au kutotoa..... Ina mana na nyie hivyo ndo vipimo vyenu?? [emoji13]
We ulitoa nini😅😅😅😅😅upendo ni kutoa kile kinachoumaaaa
😅😅😅😅😅ukiomba kinachoouma natoaWe ulitoa nini
Kiseme sasa😅😅😅😅😅ukiomba kinachoouma natoa
Sasa hicho nikipimo kibovu, hata yule usio mpenda unampa pesa ili akurahisishie huduma zake kwa kumpa mapenzi fake ....utawasikia badaye mimi hapa ckupata pesa zako nilicho fuata ni wewe kwani pesa ni kitu gani? Hahaha tayari kashapiga mizinga ya kutosha....demu wa kibongo loh!!!!!Wengine wanapimia mkuu.. je, aone matumizi yapo???.. Kuna Ile anayekupenda hawezi kukunyima.
hapana siwez, kama we ambavyo ukiombwa pesa inakuuma, kuna mwingine haimuumi ndo mambo yako hivoKiseme sasa
Na kweli naona mambi yako hivyo..😂hapana siwez, kama we ambavyo ukiombwa pesa inakuuma, kuna mwingine haimuumi ndo mambi yako hivo
Kama hana hela na ana shida nayo?Mwanamke serious haombi hela. Ombaomba tu huwa na tabia ya kuomba.
una ufala sana 😅😅😅Na kweli naona mambi yako hivyo..😂
Wewe dada mbinguni unaenda bila kupingwa hiyo hoja ya kwanza ndio changamoto kubwa kwa Wanawake wengi(1) Kuomba pesa; Hiki ndiyo kipimo cha kwanza ambacho mabinti wengi wanakitumia, wanaamini mwanaume akikupa pesa basi anakupenda. Utasikia “Muombe pesa ujue kama yuko siriasi na wewe au la?”
Anaweza kukupa pesa kila siku na bado asiwe na mpango na wewe . Najua mwanaume mbahili anaboa, ila usimpime kwakua anakupa pesa, angalia namna anavyojali, kama angalau analipia chakula na nauli hana shida si lazima akupe pesa! Upendo wa kweli hautegemei pesa. Anaweza kutoa pesa, anapata mbunye na akakuacha anaenda kutafuta mwengine.
(2) Kumuambia mwanaume una mimba yake akakubali kulea; Hiki kimetengeneza single mother wengi, unakuta mwanaume alishakuambia umzalie, unamuambia kwanza unamimba ili kuona atafanyaje? Basi akiikubali unaona anakupenda unabeba kweli!
Dada iko hivi, mimba inakataliwa na miezi 6, anaweza kukubali mwanzo ili usitoe ila ukifikisha miezi 6 anajua hutoi anakuacha utalea mwenyewe anawaza kifikisha miaka 7 nakuja kuchukua mwanangu, hivyo hiki si kipimo kabisa.
Mwingine anaweza kukataa kwakua hajajipanga ila baadaye akafikiria na kuona mtoto Baraka akakubali, hivyo achana na kipimo hiki, kukubali au kukataa haina uhusiano na upendo. Au Ile unaona umekaa muda mrefu kwenye uchumba sugu ,basi unaona njia sahihi ni kubeba mimba Ili Huyo mwanaume akukubali mazima. Dada unapotea,acha kabisa mitego km hiyo, upelekea kumtesa mtoto mwisho wa siku.
(3) Mwanaume kujitambulisha kwenu au kukupeleka kwao; Hiki nacho ni cha hovyo kabisa, kuna wanaume ambao hawajali kujitambulisha hata kwa wanawake 20, wengine familia zao hata hazilali, Mama anapelekewa wanawake hata 10 na haulizi chochote tena unakuta anakuomba na pesa, hapo imekula kwako.
Epuka aibu ndogondogo za kutambulisha mwanaume halafu anakuacha, inakua uchumba sugu.
Tafuta kipimo kengine Cha kupimia upendo wa mwanaume, lakini si pesa, mimba Wala kutambulishwa kwao. Mwanaume akupendaye utaona tu upendo wake, hata ipite miezi 5, 6 Mpk 7. Hao wa hivyo vipimo wakimaliza tu shida zao ni ndukiiiii [emoji2091][emoji2091][emoji2091][emoji16], humuoni tena [emoji13][emoji57]
Taja hizo signs ni zipi?Kumjua mwanaume anayekupenda ni rahisi Sana.
Sijui dada zetu mnakwama wapi.
Mwanamke anaejitambua haombi hela. Simple as that.Kama hana hela na ana shida nayo?