OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daah, Ukiangalia mambo mengi yamekaa kumfurahisha zaidi mwanamke. Yaani unakomaa ili kumfanyia vitu vizuri mwanamke. Hata kwenye kumpiga mashine isipoenda vizuri unalaumiwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama sijakusoma,mwanamke ombaomba kivipi?Kipimo ni kimoja tu jombaa, kukaa na mwanamke omba omba
Blaza blaza nimesoma uzi wako blaza ila kwenye uvumilivu katika kunaniliuu hapo... kwani blaza vipi mfalme Suleiman, yeye hakuwa mwanaume? Maana alikuwanao ka buku mixer vimada, michepu na mazagazaga ka yote. Yeye alikuwa ni msosi, sala, mbupu daily. Afu fureshi, sir god hakumind wala nini.Habari wanaharati wenzangu! Juzi tarehe 16/06/2024 ilikuwa ni siku ya wababa duniani,Sasa tukiwa bado na lile vibe la kukumbukwa😂🤣sio vibaya ujipime hapa ili ujue Kama wewe ni real au ndio wale feki waliojaa mitaani.
uanaume ni zaidi ya kuwa na jina na jinsia ya kiume,ni zaidi ya kuwa na six pack🏋️,Uanaume sio machine,sio pesa,Uanaume ni spiritual and mental capacity
nimeandika uzi huu kwaajili ya wanaume walio kwenye ndoa au wana familia ila hata Kama bado hujaoa si vibaya,unaweza kuokota mawili matatu yakakusaidia kesho.
Twende Sasa kwny vipimo kumi vya Uanaume............
1.Maono ya muda mrefu(miaka 10,20....)
Mwanaume ni mbeba maono,bila maono mwanaume anakuwa hana msimamo, badala ya kuzikimbiza ndoto zake ataishia kukimbiza wanawake💃....🏃
2.Uaminifu
Hapa namaanisha ule uwezo wa kukaa kwny ndoa bila kumsaliti mkeo,binafsi nipo kwny ndoa miaka 10 na sijawahi kutoka nje ya ndoa,hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya wanaume lkn inawezekana na huo ndio Uanaume!
3.Majukumu
Waliosema mwanaume ni majukumu hawakukosea kabisa,mwanamke akikuzidi kipato usijilegeze pambana mtoto wa kiume,unaweza kufukuzwa kazi,biashara zikabuma na mkeo akakupiga tafu ni sawa lkn iwe kwa muda tu,coming back ni moja ya mental toughness ya kiume,mwanamke akijua ww ni fighter,atakuheshimu tu hata Kama anakuzidi kielimu.
4.Kupiga mke sio Uanaume
Rafiki yangu mmoja alimpiga mke wake akapelekwa polisi ile mke kusema tu ndio huyu hapa anayenipiga,dah!jamaa alikula makofi heavy,wazee wetu hawakukosea kusema mke hapigwi ngumi anapigwa kwa upande wa kanga,Kama Kuna kitu kilinisumbua ni pale mke anakuchokoza maksudi akijua huwezi kumpiga....baadaye nilipata mbinu flani hv ila sitaitaja hapa.
5.information genious
Wewe kama mwanaume unatakiwa ujue vitu vingi ili mkeo akikuuliza Jambo uwe na majibu,uwe kama Google yake,ile kusema hujui ni risk kwasababu atakapo mpata wa kumjibu maswali yake jua umekwisha,hata Kama hujui jifanye mjuaji,wanawake wanapenda mwanaume mjuzi wa mambo sio mshambamshamba.
6. Sex transmutation
Wasomaji wa vitabu,watakuwa wanaijua hii kitu,mwanaume hutakiwi kuendekeza sana kile kitendo,Kuna wakati utakuwa mbali na mkeo,jifunze kuwa mvumilivu huo ndio Uanaume,siku zote kumbuka kuwa"love is more than sex"
7.Uwezo wa kubeba na kuficha mambo mazito(kifua)
Wanaume wenzangu sio kila Jambo unamwambia mkeo Kuna mambo mengine unatakiwa kuyamaliza tu kimyakimya,sayansi inatuambia kuwa mwanamke ni emotional being,ni kiumbe cha hisia,ukivurugwa anavurugwa mara mbili yako!mambo mengine mazito huna haja ya kumweleza,kwa mfano Kama umefukuzwa kazi usiende kwa mkeo ukiwa Kama umechanganyikiwa na kusema cjui tutaishije....isee utaipoteza ndoa yako,siku zote kuwa normal,unacho au huna,umepata au umekosa be just normal huo ndio Uanaume,acha kupayuka.
8.Uwezo wa kutimiza ulichohaidi
Ni ukweli usiopingika kuwa mwanawake anapenda kuhaidiwa kitu lkn usipotimiza ahadi anakuwa disappointed Sana!na atakuona unastahili kupuuzwa,always timiza ulichosema,Kama huna huo uwezo bora unyamaze kimya,binafsi nashukuru nilimwahidi wife kumjengea day care nimetimiza😄
9.Mwanaume ni founder
Neno baba"Father"maana yake ni mwanzilishi,mwasisi au kwa kingeleza"founder" hii inamaanisha mwanaume Kama baba wa familia anatakiwa kuanzisha project za kifamilia ambazo zitasimamiwa na wanafamilia(wahindi na wajapani wanafanya sana hii kitu) ni wkt wetu na sisi kuwa mafounder wa Xyz & familly company,uwezo tunao tunahitaji uthubutu tu.
10.Uwezo wa kutengeneza Utajiri wa vizazi(generational wealth)
Ukitaka kupima uwezo wa wazee wetu angalia walichotuachia,umaskini tulionao hautokani na makosa yetu ni mnyororo mrefu wa vizazi vingi huko nyuma,Uanaume ni kutengeneza mifumo itakayosaidia kizazi chako kuishi vema hata ukiwa umeshatangulia mbele za haki.
wamarekani wanasema "one for the nation" yaani mafanikio ya taifa au hata familia yanamtegemea mtu mmoja ambaye atajitoa mhanga kwa ajili ya faida ya wengi.
mwaunaume "mtafute M-ngu Kama utakufa kesho na tafuta mali Kama utaishi milele".........
Wadau kipimo gani kwako ni mtihani?hebu funguka hapa ili usaidike,Kama hayo yote yatakushinda basi walau kipimo cha kwanza mpk cha nne uwe navyo.
Kwa leo ni hayo tu
Almost all of themWhich one?
Huyo sulemani hakumaliza vizuri,wanawake walimmalizaBlaza blaza nimesoma uzi wako blaza ila kwenye uvumilivu katika kunaniliuu hapo... kwani blaza vipi mfalme Suleiman, yeye hakuwa mwanaume? Maana alikuwanao ka buku mixer vimada, michepu na mazagazaga ka yote. Yeye alikuwa ni msosi, sala, mbupu daily. Afu fureshi, sir god hakumind wala nini.
Money is nothing Kama haitawekezwa kwny appreciated assets.Money 🤑 I respect it 😊
Umesoma ili unijibu au umeelewa ninamaanisha?Money is nothing Kama haitawekezwa kwny appreciated assets.
Unamaanisha kwamba?Ni ngumu mkeo kuchakatwa kama wewe huchakati believe me!
Kweli kabisa.Daah, Ukiangalia mambo mengi yamekaa kumfurahisha zaidi mwanamke. Yaani unakomaa ili kumfanyia vitu vizuri mwanamke. Hata kwenye kumpiga mashine isipoenda vizuri unalaumiwa wewe
Jamaa amekosa sifa za kiume kabisa. Mwanaume anasifa moja tuu, nayo kuwa SELFISH.Daah, Ukiangalia mambo mengi yamekaa kumfurahisha zaidi mwanamke. Yaani unakomaa ili kumfanyia vitu vizuri mwanamke. Hata kwenye kumpiga mashine isipoenda vizuri unalaumiwa wewe
Ba tamu amepass no 5,Sina uhakika Kama no 2 atapindua😲Ba tamu ana vigezo vyote hivi, hasa no 5 ndo napompenda huwa tunabishana kwa hoja had mwenyewe nasema yess jamaa ninayee.
Ba tamu popote ulipo, tambaaaaaa. Wee ni mwanaumeee.
Wewe jamaa wewe M-ungu anakuonaHapo kwa namba mbili jiangalia Tena, Ricardo kaka aliachwq sababu hakuwahi kumcheat mkewe. Ukitaka mwanamke akuone una kasoro basi ni kuwa wake peke yake. Ndio mana mwanamke hata akukute kifuani kwa mchepuko atakusamee. You know why. Ila tuu isiwe too much
Nina maanisha mtenda hutendwaUnamaanisha kwamba?
Kabla sijakupinga naomba unijibu hil8 swali. Unatumia kigezo gani kusema hap sex imeendekezwa?6. Sex Transmutation
Wasomaji wa vitabu watakuwa wanaijua hii kitu. Mwanaume hutakiwi kuendekeza sana kile kitendo. Kuna wakati utakuwa mbali na mkeo, jifunze kuwa mvumilivu huo ndio Uanaume. Siku zote kumbuka kuwa "love is more than sex."
Mr okw, ladies are bosses,hata adhabu ya kula kwa jasho haiwahusu,cheki kuli anabeba mizigo mizito akipata pesa yote inaishia kwa pisi kali.Daah, Ukiangalia mambo mengi yamekaa kumfurahisha zaidi mwanamke. Yaani unakomaa ili kumfanyia vitu vizuri mwanamke. Hata kwenye kumpiga mashine isipoenda vizuri unalaumiwa wewe