Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

Uko serious ni wewe mhusika wa hilo janga au umekuja kutoa ushuhuda wa mtu mwingine?
 
Sasa unalaumu nini? Lengo la kupima ni either uwe navyo au usiwe navyo sasa imetokea unavyo chakufanya jaribu sehemu zingne na kama bado unavyo anza Dozi Mapema sio kulaumu.
 
Kamwe usimuamini demu mzee mimi ni MUNGU tu ndio aliniokoa nikaanza pep mapema la sivyo ningekuwa nimeungwa kwenye gridi ya taifa
Vipi mkuu demu alikuwa kanona vizuri unaamua kupiga dry chama🤣🤣🤣🤣

Ila jamani watu wanawezaje kutombaz na condom?
 
Ukimwi hautesi mazee, kuna broo jirani yangu alikuwa anasumbuliwa na Cancer ya koo, alikuwa anateseka hadi huruma chozi linanitoka, kuna magonjwa yanatesa aisee, UKIMWI mtu anaishi nao vizuri tu mwilini bila tatizo. Huyo bro amefariki juzi na leo ndio mazishi Yake.

Ukimwi hautesi kaka, ishi nao utakupa mawazo mwanzoni ila baadae utauzoea na uzingatie dozi
 
Wakuu Now early in the morning nimepima hapa zahanati moja toka Wilaya ya X na kukutwa nina HIV

Inaumiza sana...mbona nimejilinda so what happens my friend?

Vijana play safe mzaniae kumbe siye[emoji3578][emoji27]
Sasa mbona unatuchanganya kwanza unatuambia ulijilinda then unasema umdhaniae ndiyo kumbe siyo...ebu tupe namba ya huyo unae hisi amekupa tuka test mitambo.
 
Ukimwi si tishio tena kwa sasa. Muhimu ishi kufuata ushauri utakaopewa. Pia jitahidi uwalinde na wengine, usisambaze sana
 
Wakuu Now early in the morning nimepima hapa zahanati moja toka Wilaya ya X na kukutwa nina HIV

Inaumiza sana...
Una ukimwi au una virusi vya ukimwi? Jifunze kwanza kuijua tofauti hii.
 
Njoo ujibu maswali ya wadau wakusaidie, unaanzisha uzi halafu unapotea...
 
Back
Top Bottom