Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

Bora wewe umepima mimi nimetembea na lisister flani hivi juzi hata silielewi ila lilikuwa lichombo hasa, kinachoniuma nilienda mpaka Uvinza kuchukua chumvi halafu nikala mzigo bila pep.
 
Wakuu Now early in the morning nimepima hapa zahanati moja toka Wilaya ya X na kukutwa nina HIV

Inaumiza sana...mbona nimejilinda so what happens my friend?

Vijana play safe mzaniae kumbe siye✍️😰
Kula vizuri, pata muda wa kupumzika, acha uasherati, anza kunywa vidonge vya kusogeza siku na mwisho andika wosia - kama tutasafirisha ama lah.
 
Nje na sinaga time ya kuandaa sana, haikuwa rough sana
Huenda ni sababu ya kutopata. Wanasema vaginal fluids ina contain HIV kwa asilimia ndogo sana kulinganisha na shahawa na damu. Na je, zaidi ya mara ngapi umeshiriki naye?

Alikuwa anatumia dozi?
 
Hello,
Ukimwi sio ugonjwa ni roho ama kwa jina lingine ni pepo la ukimwi. Jibu ni YESU mponyaji wa maradhi yote. Unaweza fikiri ni msihara lakini ni kweli kabisa. na kwa yeyote mwenye shida kama hiyo ama inayofanana na hiyo Mungu anaweza mponya. Angalizo usije kimbilia kwa Mungu kwa uponyaji tu bali kimbila kwake kwa nia ya Kumtaka Mungu kwanza,
waweza angalia hapa jinsi uponyaji wa hapo hapo kanisa la RGCM goba dar es salaam
 
Hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani jiandae kufa tu punguzeni uzinzi wengi Wana ngoma
 
Hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani jiandae kufa tu punguzeni uzinzi wengi Wana ngoma
Mungu ni wa msamaha na Rehema kwa kila ajutaye makosa yake, kila mmoja hukosea. Mhukumu wa kweli ni Mungu pekee, tuwe makini jamani...
 
Back
Top Bottom