Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

Duh
 
Yah! Hii pia ni moja ya sababu dini na sayansi kutoelewana
 
Kwanza napata mashaka na unavyoelewa maana ya kuzama kwenye matope . Unaelewa jua lipo wapi ? Na je uko liliopo papoje? Unaelewa nini maana ya anga ? Unaelewa nia maana ya machweo na mawio ? Unaelewa nini maana ya ulimwengu ? Unaelewa nini maana ya matope? Unaelewa nini maana ya nyota? Unaelewa ni kiasi gani jua Lina ukubwa? Unaelewa nini maana ya dunia kulizunguka jua? Unaelewa nini maana ya dunia kujizungusha kwenye mhimili wake? Unauelewa wowote angalau kidogo kuhusu astrophysics,astrochemistry, astrobiology na astrogeology au astronomy kwa ujumla ?

KWELI UNAAMINI KABISA KWA AKILI ZAKO TIMAMU JUA LINAZAMA KWENYE MATOPE?[emoji848]
 
Mkuu Mimi ninamjua astronomy mpaka mke wangu anaona wivu . .
Yani nikipiga picha Anga la nyota usiku Na nikapiga Tena baada ya miezi Sita Nina uwezo wa kucalculate umbali wa Hizo nyota Kwa parallax method Tu.
Ninaijua Astrophysics yote kuliko kiganja changu Yani kuanzia star formation,principles of Quantum Mechanics, orbital and stellar Dynamics and Structure of Galaxies, relativity,structure and Evolution of galaxies,cosmology,astrophysical Fluid Dynamics,galaxy dynamics,cosmic expansion,large scale structures,big bang theory,string theory nk. Nk.

take it from me .hili jua unaloliona linazama kwenye matope
Kama huamini ushahidi upo mwingi Tu hata wewe unaweza kuchunguza....Anza Na Quran 18:86
 
Aya umeshinda siitaji kuendelea kubishana[emoji119][emoji16]
 
Kupiga mawe wanawake wanaozini mpaka kufa , jino kwa jino , upanga kwa upanga saa hizi Kuna mahakama unaweza kumfungulia mshitakiwa wako kesi kuliko kujichukulia sheria mkononi
Kwanza, katika uislamu hukmu ya kupingwa mawe mpka kufa, ni kwa mzinifu aliyeoa, na ni kwa jinsia zote sio mwanamke peke yake.

Plili, inamaana kwako wewe kuhukumu kwa sheria alizoziweka Mungu ni kujichukulia sheria mkononi, ila kuhukumu kwa kwa sheria walizoziweka wanaadamu ndio kufuata sheria?

Pia katika utawala wa kidini(kiislamu) kunakuwa na mahakama, sio kama watu wanajichulia tu sheria mkononi.

Hukmu ya kiislamu mwizi anakatwa mkono, lakini haina maana leo hii mtu akiiba basi muislamu amkate mkono.

Bali hukmu hiyo inatolewa na kadhi(hakimu) baada ya kuisikiliza kesi, maana sio kila anayeitwa mwizi ni mwizi, na sio kila kilichoibwa kinahadhi ya mtu kukatwa mkono, hivyo sio kila mwizi anakatwa mkono.
 
Dini zinajengwa juu ya msingi wa imani. Sayansi inajengwa juu ya msingi wa "facts".
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mambo hayo mawili.
 
Hakuna dini iliyotoka kwa Mungu hayo ni mahaba niuwe ya Baadhi ya watu tu dini zote ni kazi ya mikono na fikra za mwanadamu yeye mwenyewe kwa sababu kazi za fasihi zote za dini zimeandaliwa na mwanadamu mwenyewe hapa hapa duniani
Uzuri madai yenu huwa hayabadiliki, tangu Quran imeteremshwa miaka 1400 iliyopita hoja ni zilezile.

Allah subhaanahu wataa'la- anasema katika Quran (25:4-6):-

4."Na wamesema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uzushi alio uzua, na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo".(25:4)

5."Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni."

6."Sema: Ameyateremsha haya ajuaye siri za katika mbingu na ardhi. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu."
 
Kwa hiyo kabla ya 1400 kulikuwa hakuna MUNGU NA WATU PIA HAWAKUWEPO[emoji848]
 
Kwani Zaburi, Taurati na Injili ziliteremshwa kabla au baada ya Quran?
Sijajua na wao wakristo vitabu vyao vilitelemshwa lini maana nyie waislam ni miaka 1400A.D .wao wakristo sijui itakuwa lini?[emoji848] Au vyao havikutelemshwa nini?[emoji848]
 
Hii ndio kazi ya POWERFUL ENERGY AU NATURED NATURE AU MUNGU [emoji116]


Na sio kuamrisha watu kwamba mwizi akiiba akwate mikono,mwamke mzinifu apigwe mawe mpaka kufa, wayaudi wauwe watu wote kote wanapopita mpaka watakapofika pale wao wanapopaita inchi ya ahadi na hapo pia wauwe kila kitu mpaka wachukue ardhi yao,usile nguruwe kwamba ni najisi hii zote si kazi ya NATURED NATURE AU POWERFUL ENERGY AU MUNGU BALI NI KAZI ZA MIKONO YA MWANADAMU MWENYE KAMA ILIVYO TU KATIBA (Mfano katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo imepitwa muda wake na inahitaji marekebisho hivyo ata katiba za dini Biblia, Quran nazo pia zinahitaji marekebisho.
 
Yas dini zilizo nyingi huwa ni mistari miwili mitatu tu. Hiyo ndiyo dini

Halafu haya mengine ya kijamii na kiuchumi inabaki kuwa ni kazi yetu kujipanga kulingana na kitakachotuletea msawaziko kimwili, kimaendeleo etc
 
Kwenye kila nyota Kunapatikana sayari na kwenye galaxy Kunapatikana nyota na kwenye universe kunapatikana galaxy

KUNA MATRILION YA SAYARI PIA KUNA MATRILION YA NYOTA PIA KUNA MATRILION YA GALAXY PIA HIVYO HIVYO KUNA MAULIMWENGU YA KUTOSHA .KWA UFUPI TU NATURED NATURE AU POWERFUL ENERGY AU MUNGU NI HAIWEZI KUELEZEKA DINI INAIELEZEA KWA KIWANGO KIDOGO SANA BORA SAYANSI UPANDE WA ASTRONOMY WANAIELEZEA HII POWERFUL ENERGY KWA UKUBWA WAKE
 
Tunahitaji jambo hili kuzingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…