Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

Upo sawa. Kuna jamaa ana mke na mkewe alitaka kumuua akamwagia tindikali sehemu za siri jamaa aliugua miezi kama sita hajaingia job maana ilikuwa almanusura apoteze mjamaa wake.

Sasa siku hizi karudi job na story zake ni kuwa amekula manzi fulani na fulani na hata job yupo karibu zaidi na wanawake ndio company yake na anajisifia wote kapita nao.

Wenye akili tunajua tu kinachomtesa ni kuwa hana uwezo huo anaojigamba nao. Very low self esteem, inferiority complex and some kinf of personality disorder ndio changamoto.

Cc: Maghayo mkaldayo we ni umbwaa
mnawaza tu haraka haraka, hebu fikiria daud aliyekula mke wa mjeshi wake ,daud alikuwa king, alikuwa na inferiority gani?
 
Shalom,

Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.

Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi.

Unapoishi maisha basi huna budi kuwa ni mtu mwenye kusimuliwa kwa Hadithi nzuri kuhusu tija na ubara na umaridadi unaocha kumbukumbu za shoo kali na tamu kwenye vichwa vya Maex na etc.

USHUHUDA: kiasi wa matokeo chanya na legacy yangu kwa madamu zangu wa zamani wanapikuwa na waume zao au wapenzi wapya wakinikuta popote nasalimiwa mara nne hapo hapo Wadiz Wadiz Wadiz Wadiz, wee Shaz x4 husikii ?

Ni hayo tu ikawe alhamisi njema na yenye kuleta pesa na mahaba kwetu sote.

Good day

Wadiz
Mhh
 
Upo sawa. Kuna jamaa ana mke na mkewe alitaka kumuua akamwagia tindikali sehemu za siri jamaa aliugua miezi kama sita hajaingia job maana ilikuwa almanusura apoteze mjamaa wake.

Sasa siku hizi karudi job na story zake ni kuwa amekula manzi fulani na fulani na hata job yupo karibu zaidi na wanawake ndio company yake na anajisifia wote kapita nao.

Wenye akili tunajua tu kinachomtesa ni kuwa hana uwezo huo anaojigamba nao. Very low self esteem, inferiority complex and some kinf of personality disorder ndio changamoto.

Cc: Maghayo mkaldayo we ni umbwaa
huyo mwanamke Bado Yuko nae na vipi hakuchuliwa sheria
 
Back
Top Bottom