Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Kwani sini mwendokasi nayo...Ndege uroda kama mwendo kasi
Mi nilinunua Juice zangu 5 Washington DC nirudi nayo Tz kuhonga mchepuko wangu,kufika airport pale Washington Dulles Int. Airport (IAD) ukaguzi wakanizuia eti haziruhusiwi. Eti aidha nizinywe palepale au zitupwe kwenye dustbin....daaaaah,kuzinywa nikashindwa,basi wakazichukua wakazitupa.
Mi sikujua Mkuu..... Niliziweka kwenye begi la mgongoni iliniuma sana. Now nimeshajifunza!Ungeweka kwenye bag la kuingia chini wala isingekuwa tatizo kabisaa....
Mi sikujua Mkuu..... Niliziweka kwenye begi la mgongoni iliniuma sana. Now nimeshajifunza!
Ungepiga bonjour Madame huku unaonyesha kwa ishara angekuelewa tu huyo mtoto na ungegegedaHapana aisee. Lugha ilikuwa gongana siku hiyo,kingereza na kifaransa.
Ukija kupanda vile vipanzi (Charters) utajifia-usijaribuMmh nmefurahi. Mimi ilikiwa mwaka jana mwezi wa tatu(ahsante fastjet)
Niliingia kwa ndege nikiwa na amani, ilipopaa sikujua kuwa kule hewan huwani ni kama inatetema hivi kwenye mawingu sasa ilipokuwa inatikisika roho fyatu najua ndo tunarudi chini.
Alafu siku nasafiri nilisafiri na ile timu toka south afrika iliokujaga kucheza na yanga kwenye mwez wa pili hivi, sasa nilikaa na mmoja yeye akiwa dirishan tulipoingia nikamuomba nikae dirishani jamaa akatosa..lol
Tatu nilikuwa nahs tupo palepale mara nikaskia tunatua dar, mara chache sana nilihs ina move..na sijui kwann mpka leo.
Ushamba duu
Kweli.??[emoji15] [emoji15]Mm ilikuwa 1939 kipind napigana vita vya 2 vya dunia. Tulikuwa tunatoka tz kuelekea Ujeruman. Sikuwa na was was wwte si unajua mjesh inabid ukomae. Kimbembe sasa kipind tunatoka ujeruman(Berlin) tunaelekea poland, tumefika kweny anga la poland tukaambiwa wote turuke toka angan, nusura nijinyee maana nikicheki chin palivyo mbali duh! Nilichoka ila uzuri tulipewa mbinu km parachuti ikishindwa kufunguka ni hayo.
Jeshini walikuwa wananiita sniper