Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Mhe. una MA/MSc. Economics sio?
 
Emirates walianza kwa kukodisha ndege Pakistan International Airlines leo hii wanaongoza duniani kwa kwenda Destinations 160 na midege yote Mikubwa. Sisi na ATCL tuwe na malengo ya mbali. Ndogo mdogo tutafika.
 
aisee ndege bado naitafakari iweje dude zito vile lipae hewani masaa kadhaa bila kuanguka. Shikamoo Mkoloni mweupe.
Mkuu kuna kanuni inasema hivi a floating body displaces its own weight in a fluid it floats. Kanuni hii inasaidiwa na Maelezo haya in order for the plane to float in air its density should be less than that of air. Sasa basi hapa ni kwamba ili kitu kiwe na density ndogo lazima kiwe na ujazo mkubwa kuliko uzito wake na ndomaana huwa unaona ukinunua puto lamwanao ukalirusha juu kamwe haliwezi kuelea mpaka tu pale utapo tia upepo. Upepo ule hulifanya puto kuwa na ujazo MKUBWA na hivyo kupelekea puto kuwa na density ndogo kuliko density ya hewa. [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji613]
 
Mtaalamu umetunufaisha wengi hasa sisi MANGWINI.
 
Mkuu uko kama mimi vile. Am in love with Agricultural Economics kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…