Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Duh umenikumbusha kipindi naendesha hiace mvua iilikuwa imenyesha wakaja waha wanne wakavua viatu ili wapande nilivunjika mbavu kwa kicheko
 
Mbona suruali yake ni chafu kuliko ndala alizozivua?!... au nayo ataivulia ndani?!...
 
Ndege yenye ghorofa ni ya watu wa Ulaya yaani Airbus A380. Dreamliner au Boeng 787 haina ghorofa ila ndiyo ndege mpya na inatumia mafuta kidogo. Boeng zinatokea USA. Ndege yao pekee yenye ghorofa au nusu ghorofa ni Boeng 747 ambayo hata Obama anatumia au kwa ufupi Air force one ni Boeng 747 iliyowekewa mambo yenye gharama zaidi ya ndege yenyewe.

Kuna ndege Boeing 787 Emirates,nilipanda miaka 2 iliyopita aisee....kumbe ina gorofa! Nilishangaa sana....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nazitafuta, asante sana mkuu. Ntakapokwama au nikifanikiwa ntakwambia.
Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?
 
Duuh, jamaa kwanza kaja na ndala (ingawa si kosa kisheria/kiutaratibu) halafu tena kavua hapo chini ya ngazi. Hatari munoo, sis wengine na elimu yetu ya hapa na pale tukapata kazi humo kwenye NGOs za kushughulikia MAGONJWA NYEMELEZI basi wakati wanatutuma ile kule KANDA MAALUM ndo tunakwea pipa hasa PW. Asante Msaada wa Watu wa Marekani.
 
Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?
Level ni ya masters. PHD....baadae. Napenda economics in general, kama vile natural resource economics, its unfortunate sijawahi kusoma agriculture lakini napenda sana program ya agricultural economics.
Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?
Level ni ya masters. PHD....baadae. Napenda economics in general, kama vile natural resource economics, its unfortunate sijawahi kusoma agriculture lakini napenda sana program ya agricultural economics. For over 2 years I have been working in agriculture projects, climbing my ladder up to Project Manager so I would like to expand skills in agri-projects. If this ambition will bounce, I may look on programs related to Climate change, project management, sustainable development.
Australia/NZ ni nchi ambazo zinafuga sana, napenda sana mifugo. Yaan huwezi amin tangu sijaanza primary nilikuwa nasoma atlas na hizo nchi zilinivutia sana kama unakumbuka... Ufugaji wa kondoo...NZ (sijui kondoo wa merino- ambao hata sijapata kuwaona). But also USA I like it. Nilipenda sana program hii ya north carolina state university.
1484375667648.png
 
Back
Top Bottom