Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni A380-800 ina ghorofa juu mkuu. Ndege ina raha sana ile
Mkuu hapa si Chato Airport? Shauri yako
Hahahaah huyu katisha
Kuna ndege Boeing 787 Emirates,nilipanda miaka 2 iliyopita aisee....kumbe ina gorofa! Nilishangaa sana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbeya-Dar na fastjet mama mtu mzima kabeba na kuku kokoliko kufika airport kuku karuka huyooooo
Nazitafuta, asante sana mkuu. Ntakapokwama au nikifanikiwa ntakwambia.Mkuu kwa Australia Scholarships zipo nyingi sana na Watu kutoka Asia (China, India & Vietnam) wanazichanagamkia sana. Wakati fulani niliwatumia watu TZ waapply nikaambulia mitusi. Ingia hapa International Postgraduate Research Scholarship Eligibility | Adelaide Graduate Centre Postgraduate Research Scholarships
Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?Nazitafuta, asante sana mkuu. Ntakapokwama au nikifanikiwa ntakwambia.
Duuh, jamaa kwanza kaja na ndala (ingawa si kosa kisheria/kiutaratibu) halafu tena kavua hapo chini ya ngazi. Hatari munoo, sis wengine na elimu yetu ya hapa na pale tukapata kazi humo kwenye NGOs za kushughulikia MAGONJWA NYEMELEZI basi wakati wanatutuma ile kule KANDA MAALUM ndo tunakwea pipa hasa PW. Asante Msaada wa Watu wa Marekani.
Level ni ya masters. PHD....baadae. Napenda economics in general, kama vile natural resource economics, its unfortunate sijawahi kusoma agriculture lakini napenda sana program ya agricultural economics.Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?
Level ni ya masters. PHD....baadae. Napenda economics in general, kama vile natural resource economics, its unfortunate sijawahi kusoma agriculture lakini napenda sana program ya agricultural economics. For over 2 years I have been working in agriculture projects, climbing my ladder up to Project Manager so I would like to expand skills in agri-projects. If this ambition will bounce, I may look on programs related to Climate change, project management, sustainable development.Pamoja mkuu, hebu niambie wewe unataka kusoma nini (academic discipline) na level gani Masters au PhD? na lazima iwe Australia/NZ tu au hata kwingine?