Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Ndege raha. Twenzetu Qatar 2022 watanzania hatuhitaji viza tukaishaingilie timu yetu.
 
Ilipofika futi 30,000 juu ya usawa wa bahari,nikajaribu kuchungulia dirishani,kwakweli kwa ule umbali tuliokuwepo,nilijiuliza hivi kutoka Dar hadi Mwanza mbona mabasi ni mengi sana,huku ninachotafuta ni nini hasa...!
Dah.....ndani ya ndege iliyo angani ...abiria wengi humuamini Mungu...ikicheza kidogo tu..Mungu hutajwa sana...ukiwa una akili ya kufikiri mbali...kama si lazima ndege usipande....Ni ushauri tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kesho nakwea PW nikamzike Jasiri wa kweli nchini
 
Hahahahaha
Ilipofika futi 30,000 juu ya usawa wa bahari,nikajaribu kuchungulia dirishani,kwakweli kwa ule umbali tuliokuwepo,nilijiuliza hivi kutoka Dar hadi Mwanza mbona mabasi ni mengi sana,huku ninachotafuta ni nini hasa...!
 
Hahahaaaaaa hatari
 
Nimefurahi mnoo mkuu SI kwa kunichekesha huku dah!
 
hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…