Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Bibi alpiniambia nifumbe macho. Kabla ya kupaa kuna maneno aliyasema. Nikamuuluza bibi mbona ndege ni ndogo watu ni wengi?
Bibi akanicheka sana.
Lakini ulikuwa ni ushamba. Ila kwa sasa naruka hadi NIGERIA peke yangu.
 
Daaah Hongera saaana
 
Bado zamu ya Simba SC kukwea pipa kwenda Spain
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuseme UKWELI bila UnAFIKi ATCL imetupatia HESHIMA kubwa sana. Leo hii inatua OR Tambo International Airport daah tumetoka mbali aisee. HEKO HEKO HEKO!
 
Tuseme UKWELI bila UnAFIKi ATCL imetupatia HESHIMA kubwa sana. Leo hii inatua OR Tambo International Airport daah tumetoka mbali aisee. HEKO HEKO HEKO!
Heshima ya karne. Sasa wanatua BUKUMBURA, OR Tambo, Mumbai, Moroni, Comoros, na punde Gatwick, Guanzhou, London. Inshallah JF Kennedy, Sydney, Berlin, Muscat, Madinna, Mecca, Dubai na Rome.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] da nimecheka sana,bibi anaokiona kifo laivu
 
Duuh ulifikiri ndege ni mabasi ya mkoani. Mimi nakumbuka nilibebda manukato (perfume) kwenye begi basi kwenye ukaguz nikaambiwa hairuhusiw kusafiri na perfumes kwa kiwango hicho nikaambiwa niache hapo. Anyway ndo kujifunza huko.
Manukato hayo wale wakaguz waliondoka nayo kwao
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Ha ha haaa boss umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…