Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

😄😄😄
 
Mara ya kwanza nilikuwa natoka Dar kwenda Mwanza, wakati huo nina mimba ya 5 months lakini tumbo lilikuwa kubwa sana. Nimefika pale naulizwa una permit ya daktari kusafiri maana unaonekana mimba kubwa basi kwa kuogopa nitaachwa nisisafiri na sina doctor permit nikadanganya nina mimba ya miezi 3 ila ni triplets ( mapacha watatu ) nikapita na hongera nyingi.
 
Hongera, hongera tena
 
Dubai Wana ukwasi ila hawaleti misaada Ikwiriri tuchimbe visima vya maji na Kujenga Madrassa, why
 
🤣🤣🤣 Siyo serious bhna uanzingua mkuu dah nimecheka haki
 
Viroja vya siku ya kwanza kupanda ndege.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…