Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
Mara ya kwanza ilikuwa from mtwara to dar zamani kidogo sasa siku hyo hali ya hewa ilikuwa mbaya sana bonge la mvua nipo na broo hapo tukiwa hewani tukaskia rubani anatangaza hali ya hatari hapo ni full mtikiso ndani kama vile kuna mashimo barabarani kila mtu anaomba mungu tena, nilijuta hata kuwa na kiherehere cha kupanda ndege namchek bro wanakata wine na mzungu mmoja iv wanagonga cheers kabisa mpaka watu wanawashangaa........lakini tulifika salama na ilinichukua muda sana kukubali tena kupanda ndege niliamini ule ndo utaratibu na haikuwa salama. Bt nw nshazoea