Omseza Mkulu
Member
- Jun 17, 2009
- 54
- 7
ilikuwa mwaka 2004 natoka Mwanza na bus la Scandinavia kupanda ndege Jomokenyatta aiport kupitia London hadi Chicago(USA) na kurudi baada ya mwezi. Tiketi yangu iliandikwa kuondoka (Jumapili usiku saa sita na dak 5 usiku) .
Nilopofika Jumapili saa 4 usiku uwanjani walipoingiza kwenye mashine, wakaniweka pembeni na kunieleza ndege yangu ilikuwa nifike uwanjani jana siku ya J1 usiku na tundoke saa sita na dak 5 baada ya kuwa siku ya jumapili.. .. niliishiwa nguvu hasa nilipoambiwa kuwa hata 'ndege zingine za kuunganisha na kurudi kwa vile sikusafiri jana zimeishavurugika ktk mtandao..... loo.... siku hiyo baadae tuliwekwa daraja la pili.... lakini shida na tatizo ilikuwa baada ya kurudi mwezi mmoja toka (USA) nilisota uwanjani London siku 2 bila ya kupata ndege ya kunileta Nairobi... maana yalikuwa majira ya kiangazi...