Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

ilikuwa mwaka 2004 natoka Mwanza na bus la Scandinavia kupanda ndege Jomokenyatta aiport kupitia London hadi Chicago(USA) na kurudi baada ya mwezi. Tiketi yangu iliandikwa kuondoka (Jumapili usiku saa sita na dak 5 usiku) .

Nilopofika Jumapili saa 4 usiku uwanjani walipoingiza kwenye mashine, wakaniweka pembeni na kunieleza ndege yangu ilikuwa nifike uwanjani jana siku ya J1 usiku na tundoke saa sita na dak 5 baada ya kuwa siku ya jumapili.. .. niliishiwa nguvu hasa nilipoambiwa kuwa hata 'ndege zingine za kuunganisha na kurudi kwa vile sikusafiri jana zimeishavurugika ktk mtandao..... loo.... siku hiyo baadae tuliwekwa daraja la pili.... lakini shida na tatizo ilikuwa baada ya kurudi mwezi mmoja toka (USA) nilisota uwanjani London siku 2 bila ya kupata ndege ya kunileta Nairobi... maana yalikuwa majira ya kiangazi...
 
Jamanii ata mimi sijawah naomba mnielekeze kuanzia airport nn kinatakiwa na kip haitakiwi mkanda unafungwaje namba za siti zimeandikwa wapi
 
Aisee hizo za ndege za usiku wa manane zinachanganyaga watu sana maana wengi hawajui tarehe hubadilika saa 6 usiku
 
Kusafiri kwa ndege yeyote ile inatakiwa kuangalia kwa makini REPORTING TIME FOR CHECKING IN.

kama unasafiri kwenda nje ya nchi inatakiwa kwanza uwe na passport pamoja na entry visa ya your last destination.

Nchi zilizo nyingi znakutaka ununue visa kabla ya safari. Mathalan unaenda kwa ishu za kiboashara mfano dubai visa yao ni dola 110.

Then muhimu japo si sana uwe na kadi ya chanjo ya ugonjwa wa manjano... kuna baadhi ya nchi za asia ambazo wao ugonjwa huo kwao ni tatizo hivo wanaktaka uwe na travellers vaccination card.

Kuhusu mizigo na vit vya kusafr navyo ndo hapo uwe makini... kwanza ni marufuku kusafir na kinywaji au kimiminika chochote chenye kuzid ujazo wa ml au cc 500.

Na mizigo yako yoteeeee lazima ipite kwenye x ray kudetect kama hujabeba vitu vya hatari na kuchek mambo ya customs.

Kuna vitu kwenye aviation vinaitwa dangerous goods vinaweza kulipuka ukiwa angani due to pressure na mambo mengine so kama unakuwa navyo hutaruhusiwa kusafir navyo.

About mkanda wa suruali... kama una chuma kizito lazima uuvue unapopita kwenye metal door detector..hata viatu kama vina chuma utavua.
CHECKING SANAAA IPO AT DEPARTING POINT.... kwenye last destination wanacheki kidogo sanaa hususan mambo ya narrotics a.k.a madawa ya kulevya, custom and exicise duties.....
 
Mi nataka niende nikafanye harusi visiwa vya mauritius au Seychelles.
 
KLM walikuwa na ndege kama hiyo, ikiondokea Dar Inter. Airport. Ila siku hizi wamefuta na kuandika ndege inaondoka saa 23:56hrs. Ila ukweli, inapaa huo muda wa saa 0:05hrs usiku.

Ndege za asubuhi sana wengi huwa wanachanganya mambo. Hata Waholanzi wenyewe walikuwa wakiachwa ingawa walikuja na hiyohiyo KLM. Unaposafiri, inabidi uhakikishe mara mbilimbili na wape walau watu wawili wakusaidie kusoma ili kujua kama upo sawa. Pia ukiweza, basi weka kwenye simu yako masaa 5 kabla ya kuondoka.

ilikuwa mwaka 2004 natoka Mwanza na bus la Scandinavia kupanda ndege Jomokenyatta aiport kupitia London hadi Chicago(USA) na kurudi baada ya mwezi. Tiketi yangu iliandikwa kuondoka (Jumapili usiku saa sita na dak 5 usiku) . Nilopofika Jumapili saa 4 usiku uwanjani walipoingiza kwenye mashine, wakaniweka pembeni na kunieleza ndege yangu ilikuwa nifike uwanjani jana siku ya J1 usiku na tundoke saa sita na dak 5 baada ya kuwa siku ya jumapili.. .. niliishiwa nguvu hasa nilipoambiwa kuwa hata 'ndege zingine za kuunganisha na kurudi kwa vile sikusafiri jana zimeishavurugika ktk mtandao..... loo.... siku hiyo baadae tuliwekwa daraja la pili.... lakini shida na tatizo ilikuwa baada ya kurudi mwezi mmoja toka (USA) nilisota uwanjani London siku 2 bila ya kupata ndege ya kunileta Nairobi... maana yalikuwa majira ya kiangazi...
 
KLM walikuwa na ndege kama hiyo, ikiondokea Dar Inter. Airport. Ila siku hizi wamefuta na kuandika ndege inaondoka saa 23:56hrs. Ila ukweli, inapaa huo muda wa saa 0:05hrs usiku.

Ndege za asubuhi sana wengi huwa wanachanganya mambo. Hata Waholanzi wenyewe walikuwa wakiachwa ingawa walikuja na hiyohiyo KLM. Unaposafiri, inabidi uhakikishe mara mbilimbili na wape walau watu wawili wakusaidie kusoma ili kujua kama upo sawa. Pia ukiweza, basi weka kwenye simu yako masaa 5 kabla ya kuondoka.

Watu wengi walishaachwa na hio ndege mpaka wamebadili ratiba inaondoka saa 2305 badala ya 0005...
 
Ndio maana hata masaa yanayotumika kwenye tiketi ni mfumo wa masaa 24, kuepusha mkanganyiko zaidi wa AM na PM
 
Tatizo lako kubwa wala halihusiani na ndege bali kutokusoma vizuri ticket au ni kupuuzia kusoma. Unasoma kitu mpaka iwe mtihani.
 
Niko Primary dadangu akapata safari ya uingereza.(Kipindi hicho tunasema ulaya v haijalishi hata kama umeenda Marekani). Hakuna yeyote alowah kusafir na ndege kwetu mpk muda huo achilia mbali kwenda nje ya nchi tu. Bana weh,
1.Alishonesha suti kwa fundi kama ya sarafina pale wakati movie inaisha.
2. Tulikodi tax tatu kumsindkiza airport.
3. Mzee alituma nauli kwa shangazi na bibi wiki moja kabla ili watoke Mbeya kuja kumsindikiza dada airport.
4. Pale airport tukajipanga warefu nyuma, wafupi wachuchumae, tukapga picha. Ni moja kati ya picha dada hazipendi sana leo akikumbuka tulivokuwa washamba.
 
airport ilitaharuki!!!!
 
Juzi nilienda airport kumpokea dogo, hali nilioikuta pale ilinifanya nijiulize is it a big deal kwenda/kutoka ughaibuni?! Or some of us we are taking things for granted?!
 
Siku ya kwanza mimi kupanda ndege sikubabaishwa na mikanda,TV etc ila wakati ndege inapaa ilivyokuwa inatumia nguvu,inaunguruma halafu naona kama haipai in a struggle niliogopa sana!

Lakini nikiwatazama abiria wengine wanaendelea na stories Kama kawaida hapo ndio roho kidogo ikatulia! Ila hadi kesho sijawahi kuipenda safari ya ndege if possible natumia usafiri mwingine!
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...

Nimeipenda sana hii aisee
 
Back
Top Bottom