Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Jukwaa la Ma Celebrity. Mimi nimeuscribe. Nikiutaka tu naupata kirahisi. Ni utacheka mno. Kuna Member mmoja alicomment mbona nyumba kama kanisa. Unachekesha mno. Utafute.
Ngoja nikautafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku natoka Dubai naenda Mumbai. Kuingia kwenye ndege nasikia tangazo kuwa ndege inaelekea Bombay...weee bado nusu nianze kupiga mayowe wanishushe maana ndege ndo ilikua inaanza kuondoka. Kumbe Mumbai ndo hapo hapo Bombay.
 
Inadaiwa jina halali ni Mumbai Waingereza ikawa shida kwao kutamka Mumbai wakitamka inasikika kama Bombay jina likashika umaarufu na M kugeuzwa na kuwa B. Miaka ya hivi karibuni wahindi wakaamua warudi kwenye jina halali la jiji lao halali la Mumbai.

Back
Top Bottom