RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Habari mchanganyikoUpo jukwaa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mchanganyikoUpo jukwaa gani?
Diva mtangazaji?upo jukwaa ganiKuna huu na ule wa Nyumba mpya ya Diva. Ila huu ni Zaidi.
Mkuu BAK ulipotea sana. Salama lakini...Tujikumbushe
Diva mtangazaji?upo jukwaa gani
Ngoja nikautafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jukwaa la Ma Celebrity. Mimi nimeuscribe. Nikiutaka tu naupata kirahisi. Ni utacheka mno. Kuna Member mmoja alicomment mbona nyumba kama kanisa. Unachekesha mno. Utafute.
Ngoja nikausake kama nitautapataHabari mchanganyiko
UtaupataNgoja nikausake kama nitautapata
Huu uzi Binafsi sijawahi kuuchoka. Ile nikiwa Bored tu nautafuta naanza kuusoma upya. Kwangu ni uzi bora kuwahi kutokea JF.
Na kwako pia mkuu.Salama kabisa Mkuu, ni kweli sasa nipo kwa sana tu. Merry Christmas Mkuu.
Tuoneshe basi huo mwingine tucheke jamani
MweeeehNimeutafuta sijafanikiwa kuupata. Ngoja nijaribu tena.
we muhaya kula Smirnoff!Tujikumbushe
we muhaya kula Smirnoff!
Kuna siku natoka Dubai naenda Mumbai. Kuingia kwenye ndege nasikia tangazo kuwa ndege inaelekea Bombay...weee bado nusu nianze kupiga mayowe wanishushe maana ndege ndo ilikua inaanza kuondoka. Kumbe Mumbai ndo hapo hapo Bombay.