Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Kuna siku natoka Dubai naenda Mumbai. Kuingia kwenye ndege nasikia tangazo kuwa ndege inaelekea Bombay...weee bado nusu nianze kupiga mayowe wanishushe maana ndege ndo ilikua inaanza kuondoka. Kumbe Mumbai ndo hapo hapo Bombay.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah ila huu uzi...ulinisaidia sana kupunguza stress za ajira aise...iikuwa nikiingia kwenye huu uzi nasahau shida zote za dunia...

huu uzi una pacha wake kwa vituko ni ule wa "vituko vya nyumba za kupanga" huu nao uliniongezea sana siku za kuishi aise[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie mbona sitasahau,,,,,,,,,,
cku iyo nilijipodoa kama naenda harusini kufika airport parfume yng ikawekwa kwny dustibini niliumia sana.............
nilipoingia ndani sijui ni uoga nikaita air host aje kunifunga mkanda kasheshe wkt wa kushuka mkanda ukanishinda kufungua ikabidi jirani yng kk mmoja anisaidie..
Perfume huwa zinauma asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hadi Leo nikiwa kwenye ndege sijawahi kuwa comfortable ndehe inapopaa na inapotua. Inapopaa huwa napata wazo la ndege kufeli na kurudi chini,inapotua huwa napata wazo la ndege inaweza ikajibamiza kwa nguvu chini halafu ikalipuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah ila huu uzi...ulinisaidia sana kupunguza stress za ajira aise...iikuwa nikiingia kwenye huu uzi nasahau shida zote za dunia...

huu uzi una pacha wake kwa vituko ni ule wa "vituko vya nyumba za kupanga" huu nao uliniongezea sana siku za kuishi aise[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Please weka link au unitag kwenye Huo uzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah ila huu uzi...ulinisaidia sana kupunguza stress za ajira aise...iikuwa nikiingia kwenye huu uzi nasahau shida zote za dunia...

huu uzi una pacha wake kwa vituko ni ule wa "vituko vya nyumba za kupanga" huu nao uliniongezea sana siku za kuishi aise[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ule tukio gani la aibu lililokukumba mbele za watu.
 
Back
Top Bottom