GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Uzi wa nyakati zote. Hauzeeki.Uzi mujarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wa nyakati zote. Hauzeeki.Uzi mujarabu
Nasikia kuna juisi ya nyanya mkuuMie baada ya kuingia tu nakumbuka nilimsalimia jirani yangu basi mengi nilikuwa nimeshaangalia you tube kama aina ya ndege ntayopanda, jinsi ya kufunga mikanda so nlikuwa full kichwani, chakula nakumbka nlitumia juice tu na snacks
Ndege uwe na hela ya taxi sio ukapande bodaboda na daladalaNasikia kuna juisi ya nyanya mkuu
Kama abiria wa Mwanza wakifika JNIA. Au waCOmoro huwa wanapanda Suzuki Carry kile kirukuu kutoka Jnia kwenda KariakooNdege uwe na hela ya taxi sio ukapande bodaboda ya daladala
🤣🤣🤣🤣🤣 jamani choo kinafichwa kama hela ili tuteseke humo ndani? Nini lengo kao haswa?Ushamba mzigo .nilipanda ndege nikaumwa na mkojo nafika chooni sioni shimo aisee nilipagawa .nilisoma Kila kitu ndani Hadi nikaona kitufe Cha kubinya ndio daaah choo kinafunguka.
Hatari sanaDah umenikumbusha ndugu yangu. Mwaka 2003 tupo Airport Tabora tunasubiri ndege ya jeshi ilipofika nikaona inatetema kwenye runway..iliposimama askari akachukua kitu kama chuma akaweka kwa mkiani ili ndege isitikisike nikasema leo kazi ipo basi hata kupanda nikawa muoga.
Hapa bwana Mwalongo umetupiga kamba.Dah! Ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa", nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini, yule kaka akasema tushafika Iringa, sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa, duh! ndege inakimbia jamani!
SawaTunatarajia Zanzibar airlines ianzishwe baada ya 2025.
Sidhani kama ni kweli hata kama ni angekuwa experienced Pilot haitakuwa rahisi kufikisha that hours tunaonaga retired Pilots wako more than 30 years kazini wakizidi sana 40,000 flying hours.Curiosity. Wewe ni rubani?
Kiki tu mkuu... ukute hajawahi hata kupandaSidhani kama ni kweli hata kama ni angekuwa experienced Pilot haitakuwa rahisi kufikisha that hours tunaonaga retired Pilots wako more than 30 years kazini wakizidi sana 40,000 flying hours.