Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

miye nilipanda sasa nikashangaa mbona ndege yenyewe nipo peke yangu? Alafu haina mlango wala madirisha kuja kushtuka nipo ntwara bila nguo!! Ikabidi nishtuke watu wamenijalia!!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha Munkari sasa utanifanya nionekane chizi sasa dahhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani

Masaa laki moja mkuu dah! Nahisi kuzugwa hivi kama ndo kazi naweza amini! Ila nayo shughuli pevu! 100, 000 x60= dakika 6, 000, 000 ukigawanya kwa approximatelly 45 JRO DIA utakuwa ume risha ndege 133, 333.33! Dah hii hata akina Capt Mazula naweza doubt!
 
Dah nlianza na Air Tanzania kwenda Kigoma sikulala siku 3 ...nkasafiri salama wakati wa kurudi kulikuwa na mawingu ndege ilikuwa inayumba na kushuka kwa kasi kama dakika HV kila mtu analia mi nkawa nasubir kishindo tu..tulivyoashuka dar ndo tukaambiwa kumbe ndege ilipotea had njia mana tulipitia hadi tanga.


Mara ya pili na air Tanzania hiyo hiyo kabla sikulala wiki sina raha....wakat tunataka kuruka Mara tukaona ndege inaelekea upande wa mafuta rubani akatangaza et waliokuwa wanaweka mafuta wamesahau kufunga kifuniko tumbo km likawaka hivi....hadi Leo mi ndege kimeo
 
Mm nakumbuka mwaka 1994 natoka Budapest kuja Dar kupitia Amsterdam na Dubai,kila nikifika airport naulizia mizigo yangu iko salama!Dubai enzi hizo tafadhali ya JKIA hapa Bongo!Ushamba nouma!
 
Nakumbuka siku ya kupanda ndege ilikuwa mwaka 2014 na toka Tanzania kwenda Sweden ilikuwa kawaida sana..hadi nilichoka sana kukaa kwenye ndege.
 
Dah nlianza na Air Tanzania kwenda Kigoma sikulala siku 3 ...nkasafiri salama wakati wa kurudi kulikuwa na mawingu ndege ilikuwa inayumba na kushuka kwa kasi kama dakika HV kila mtu analia mi nkawa nasubir kishindo tu..tulivyoashuka dar ndo tukaambiwa kumbe ndege ilipotea had njia mana tulipitia hadi tanga....Mara ya pili na air Tanzania hiyo hiyo kabla sikulala wiki sina raha....wakat tunataka kuruka Mara tukaona ndege inaelekea upande wa mafuta rubani akatangaza et waliokuwa wanaweka mafuta wamesahau kufunga kifuniko tumbo km likawaka hivi....hadi Leo mi ndege kimeo

Mmmmh we kama unatufunga kamba vile!!ndege inaelekea kwenye mafuta!!?? Sijaelewa
 
Mmmmh we kama unatufunga kamba vile!!ndege inaelekea kwenye mafuta!!?? Sijaelewa

Yan wakat inaondoka tulidhani inaelekea kwenye njia yake ya kujiandaa kupaa Mara ikabadili uelekeo rubani akaipeleka wanapojazia mafuta kwenda kufunga kifuniko cha tanki lake ..hata kwao haikuwa kitu cha kawaida kusahau kifuniko kufunga...
 
Mie siku ya kwanza hata sikupata shida kwani niliuliza tu na wengi walikuwa wananijibu. Ajabu zaidi kuna mzungu alikuwa mwanamke naye ananiuliza maswali flan flan cjui naye ilikuwa mara ya kwanza.
 
mwenzio aliambiwa awahi saa kumi na mbili (Fast jet), yeye kajua ni ya jioni kufika tu akaambiwa ndege ilikuwa ya asubuhi
 
Mie sijawahi kupanda naomba mnipe uzoefu kwa ndege zetu hizi local kama nikiwa na mtoto wa 5yrs vipi naye natakiwa kumlipia.

Na kuhusu mizigo mwisho kiasi gani na nini hakiruhusiwi kubeba ukiacha hivyo vipodozi? Msaada tafadhali.
 
Namshukuru Mungu nimezaliwa kwenye familia yenye uwezo sana. Bibi yangu ana ndege mbalimbali, kuku, bata, kanga, kwale, njiwa etc
Haaa haaa hoohooo hoooo!!! Bujibujiiiii kwa hiyo wewe wote hao ''umewapanda''??....na hadi sasa unaendelea kuwapanda au!? Mkeo anasemaje kuhusu hiyo tabia yako ya kupanda panda ndege?
 
Kwa hiyo unabisha au point yako ni nini? Log ni kifupi cha logalizm bwana log book ndio kitabu cha logalizm


[TD="class: td1, colspan: 2"] logbook (ˈlɒɡˌbʊk) [/TD]

[TD="colspan: 2"] [/TD]

[TD="class: td2, colspan: 2"]— n [/TD]

[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]1. [/TD]
[TD="class: td3n2"]a book containing the official record of trips made by a ship or aircraft; log [/TD]

[TD="class: td3n1, width: 1%, align: right"]2. [/TD]
[TD="class: td3n2"]( Brit ) Compare registration document (formerly) a document listing the registration, manufacture, ownership and previous owners, etc, of a motor vehicle [/TD]

[h=2]log[/h][SUP]1 [/SUP] [lawg, log] Show IPA
noun 1. a portion or length of the trunk or of a large limb of a felled tree.

2. something inert, heavy, or not sentient.

3. Nautical . any of various devices for determining the speed of a ship, as a chip log or patent log.

4. any of various records, made in rough or finished form, concerning a trip made by a ship or aircraft and dealing with particulars of navigation, weather, engine performance, discipline, and other pertinent details; logbook.

5. Movies. an account describing or denoting each shot as it is taken, written down during production and referred to in editing the film.

cc: Wandugu Masanja
 
Last edited by a moderator:
Dah! ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa",nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini,yule kaka akasema tushafika Iringa,sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa,duh! ndege inakimbia jamani!

We jamaa asee ni nomaaaa, nimechekaje, eti kufika iringa munamaanisha nini hahahah
 
Back
Top Bottom