Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Mbona wajukuu tunao kibao?
Hata wewe njoo tu.....hatuna uchoyo wa aina yoyote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za jeshi inakuwaje mkuu/?
miye nilipanda sasa nikashangaa mbona ndege yenyewe nipo peke yangu? Alafu haina mlango wala madirisha kuja kushtuka nipo ntwara bila nguo!! Ikabidi nishtuke watu wamenijalia!!
ndo raha ya jf! Btw mekumis saaana!! Twenzetu escape 1
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Ha ha haaaaaaaaaaa burudani kabisa JFhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha Munkari sasa utanifanya nionekane chizi sasa dahhhhhhhh
Dah nlianza na Air Tanzania kwenda Kigoma sikulala siku 3 ...nkasafiri salama wakati wa kurudi kulikuwa na mawingu ndege ilikuwa inayumba na kushuka kwa kasi kama dakika HV kila mtu analia mi nkawa nasubir kishindo tu..tulivyoashuka dar ndo tukaambiwa kumbe ndege ilipotea had njia mana tulipitia hadi tanga....Mara ya pili na air Tanzania hiyo hiyo kabla sikulala wiki sina raha....wakat tunataka kuruka Mara tukaona ndege inaelekea upande wa mafuta rubani akatangaza et waliokuwa wanaweka mafuta wamesahau kufunga kifuniko tumbo km likawaka hivi....hadi Leo mi ndege kimeo
Umeona eeeh yan unacheka mpaka stress zinaishaahahaha Pole sana
ka una stress bora uingie kwenye hii thread kwa kweli
Mmmmh we kama unatufunga kamba vile!!ndege inaelekea kwenye mafuta!!?? Sijaelewa
ahahaaaaa
Haaa haaa hoohooo hoooo!!! Bujibujiiiii kwa hiyo wewe wote hao ''umewapanda''??....na hadi sasa unaendelea kuwapanda au!? Mkeo anasemaje kuhusu hiyo tabia yako ya kupanda panda ndege?Namshukuru Mungu nimezaliwa kwenye familia yenye uwezo sana. Bibi yangu ana ndege mbalimbali, kuku, bata, kanga, kwale, njiwa etc
Kwa hiyo unabisha au point yako ni nini? Log ni kifupi cha logalizm bwana log book ndio kitabu cha logalizm
Dah! ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa",nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini,yule kaka akasema tushafika Iringa,sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa,duh! ndege inakimbia jamani!