Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Prof kazingua !! Amejuaje kama ni virus wakati hamna sample imechukuliwa? Hii inaleta taharuki mwa madaktari na manesi waliyomhudumia na waombolezaji ! Je chanjo za covid 19 hakupata?Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu.
Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na yawezekana awapo kwenye mataifa mengine bali wapo Tanzania.
Napendekeza watoa maamuzi wachukue hatua ya kufanya uchunguzi kuhusu sampuli za virus hao na kuona namna ya kushughulika nao.
Tusipuuze au tufanye kazi kulinda afya zetu
Chanjo tena boss? Hiyo COVID-19 na chanjo yake ni kulwa na doto. Fuatilia utanishukuru siku Moja.Prof kazingua !! Amejuaje kama ni virus wakati hamna sample imechukuliwa? Hii inaleta taharuki mwa madaktari na manesi waliyomhudumia na waombolezaji ! Je chanjo za covid 19 hakupata?
Covid imerudi. Ukitaka kujua nenda muhimbili na Bugando.
Virusi vinaitwa Sukuma gangNimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu.
Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na yawezekana awapo kwenye mataifa mengine bali wapo Tanzania.
Napendekeza watoa maamuzi wachukue hatua ya kufanya uchunguzi kuhusu sampuli za virus hao na kuona namna ya kushughulika nao.
Tusipuuze au tufanye kazi kulinda afya zetu
Umejikaririsha!..nahisi ni Covid-19.
..ndio maradhi yanayoua ghafla / haraka.
Ndugu, corona bado ipo na chanjo bado inatolewa. Haya mafua bado ni hatari. Ukiona tu wanakwambia pneumonia.....Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu.
Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na yawezekana awapo kwenye mataifa mengine bali wapo Tanzania.
Napendekeza watoa maamuzi wachukue hatua ya kufanya uchunguzi kuhusu sampuli za virus hao na kuona namna ya kushughulika nao.
Tusipuuze au tufanye kazi kulinda afya zetu
Jongo wewe. Siye tulichanjwaChanjo tena boss? Hiyo COVID-19 na chanjo yake ni kulwa na doto. Fuatilia utanishukuru siku Moja.
Una hasira na uchungu dadake...nadhani 17 03 21 kwako bado iko mbichiTena hapo msibani waumbukizane vizuri.
Hali ni mbayaa.Covid imerudi. Ukitaka kujua nenda muhimbili na Bugando.
Na wata ambukizana kweli.Tena hapo msibani waumbukizane vizuri.
Haikuwahi ondokaCovid imerudi. Ukitaka kujua nenda muhimbili na Bugando.
Nashangaa eti wanasena Mr smile anakatisha ziara yake eti arudi msibani!! Haoni domino effect ita be triggered!??Tena hapo msibani waumbukizane vizuri.