cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kuna baadhi ya threads humu zilitabiri majanga naona kete zimeanza kuliwaHata kabla ya kifo cha Jiwe, walianza kufa washkaj zake wa karibu akina Kijazi. Sijui nilitaka kusemaje kuhusu mstaafu mashuhuri?