Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

Mungu habagui, they kill when away so as to escape doubters, he celebrated the deaths of theirs now it's on his camp lets celebrate the man of 1953 November 9th demise, thank you Lord for his service to this great Nation. It's either now or he keeps torturing us for next 4 decades.

Watu wazuri hawafi hasa wa kambi yao.
 
Umeandika nini sasa?
 
Kama Covid bado ipo serikali itahadharishe wananchi, tunapokwenda mahospitali tunakuta madaktari na manesi wamevaa barakoa sasa hili la.leo ndio linanipa mwanga kwamba wenzetu wa sekta ya fya bado wanajilinda ila wananchi wamerelax
 
Wakati huu wa baridi hao virusi wanacharuka sana kama vile walivyocharuka siku za nyuma na kuwaua viongozi wetu. Nashauri serikali iwahimize raia waanze kuvaa barakoa na kupunguza kukaa kwenye misongamano.
 
Prof kazingua !! Amejuaje kama ni virus wakati hamna sample imechukuliwa? Hii inaleta taharuki mwa madaktari na manesi waliyomhudumia na waombolezaji ! Je chanjo za covid 19 hakupata?
Ndio Maprof wenu hao...nyagori bwana kituko sana..
 
Hivyo virusi na Habari ilivyoanza nikafikiri virusi ni watu yaani habari imekuja kama sio vidudu

Mungu ni mwema
 
Kama Covid bado ipo serikali itahadharishe wananchi, tunapokwenda mahospitali tunakuta madaktari na manesi wamevaa barakoa sasa hili la.leo ndio linanipa mwanga kwamba wenzetu wa sekta ya fya bado wanajilinda ila wananchi wamerelax
Huko siyo kurelax mkuu serikali yao imeamua kuwaachaniza wajue wenyewe.
 
Mheshimiwa Waziri Wa Afya, Mbunge Wa Tanga, Odo Ummy Mwalimu
Chukueni Hatua Chap Chap, Jana Umesema Kagera Kule Kirusi Kimeondoka Na Mtaalam Wa Afya
Hamkani Hali Si Shwari Tena
Lisemwalo Lipo Kama Halipo Laja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…