Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

Mwishoni mwa wiki iliyopita niliumwa mafua makali balaa, namshukuru Mungu jumatano nilipata nafuu kubwa, lkn kila mara chafya kali balaa
 
Siku za hapa katikati nimeona watu wakivaa barakoa kimyakimya sikuelewa kwanini
 
Dhambi pia huja kwa hisia nyepesi za kibinaadamu.....

Nani anajua kuwa huenda alikuwa na matatizo ya shinikizo la damu?

Nani anajua kuwa huenda alikuwa na matatizo ya umeme wa moyo?!!

Nani anajua huenda alikuwa na matatizo ya "valves" za moyo?!!!!

Mafua ni ugonjwa wa VIRUSI.....huweza kuua kwa mtu mwenye kinga hafifu za kupambana na magonjwa hususani mtu akiwa na magonjwa mengineyo sugu......

Hivi CORONA si virusi na ambavyo vinasabibisha mafua na kuzibana mbavu?!!?

Tulishangaa CORONA kuua ndugu zetu?!!!?

#SiempreJMT[emoji120]
 
Tanzania hamna corona
😄😂😁😆😅😂😁😆😅Tunatishana Sana Ndugu Zangu
Vigogo Wafa, Vigogo Wapukutika Ni Uzushi Mtupu
Tumeishinda Corona Kwa Maombi
Natangaza Kuanzia Ijumaa, Jumamosi Na Jumapili
Tutamshukuru Mungu Kwa Maombi
By Mzilankende Mnyago, Jiwe, Chuma
 
Dokta atuambie MAFUA ya kawaida ni nini na yakoje?!!!!

Kwani kuna mafua yasiyo ya kawaida?!!!

Hivi jamani hatuoni kuna mtu anaugua mafua siku 2,37 mwingine mwezi mzima.....je sababu ni wingi wa VIRUSI vya mafua au sababu ni uimara au udhaifu wa kiafya wa mwenye mafua?!!!

#SiempreJMT[emoji120]
 
Ndugu, corona bado ipo na chanjo bado inatolewa. Haya mafua bado ni hatari. Ukiona tu wanakwambia pneumonia.....
Nimeangalia takwimu zilizoongoza Kwa vifo ni malaria na phenomenia

Juzi Uganda wlihoji kuongezeka Kwa mafua but ni msimu wake Tunaenda mwezi wa Baridi na umeanza mwezi wa 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…