Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Nikisema kirusi namaanisha HIV ambacho kinashambulia seli hai nyeupe kwa spidi kubwa kitu ambacho kinasababisha kinga ya mwili kupungua na hivyo kuachia mwanya magonjwa mengi kukushambulia. Na hata kupelekea kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi swa mkuu tulikua hatujaelewana... hilo swalo nilikua namuuliza mtoa threa anaesema hakuna HIV
 
Nakupata nakupata mkuu

Niko na ww bamba tu bambaa

13SEPTEMBER
 
Kuna presentation moja nilihudhuria, huyo mama wa kizungu alikuwa anamfuatilia mgonjwa wa HIV namna anavyo respond kwenye matibabu ya ARV kwa kupima kiwango cha viral DNA (namba of copies of viral DNA showing in a patient). Nilichoshindwa kuelewa hizo DNA ni zile ambazo zimo ndani ya virally infected cells, let say CD4 cells au ni free virus ambao wako released in the serum? if HIV utilize cellular replication mechanisms, what is the most relevant type of immune response, is it though specific humoral immunity utilizing helper T cells (CD4) or rather cytotoxic T cells and probably non-specific responses utilizing, let say neutrophils and macrophages. Walishafanya sequencing of the whole viral genome and how it integrate with the host DNA and probably doing "Restriction Fragment Length Polymorphism-RFLP" in what they consider as positive and negative patients. Kuna maswali mengi zaidi ya majibu..
 
Niliwahi kumsikia mtaalamu wa kibongo aliwahi kusema ukimwi hupatikana pia kutokana na ww mwenyewe sio lazima uambukizwe.

sikupata ufafanuzi wa kina hapo
 
Niliwahi kumsikia mtaalamu wa kibongo aliwahi kusema ukimwi hupatikana pia kutokana na ww mwenyewe sio lazima uambukizwe.

sikupata ufafanuzi wa kina hapo
ohoooo
 
Niliwahi kumsikia mtaalamu wa kibongo aliwahi kusema ukimwi hupatikana pia kutokana na ww mwenyewe sio lazima uambukizwe.

sikupata ufafanuzi wa kina hapo
Ni kwa jinsi ya vyakula unavyopeleka mwilini. You are what you eat. Ukila mapumba ofcoz kinga itapungua na Ukipima utaambiwa na Ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafatilia vizuri na kwa ukaribu sana kuhusu huu mjadala napata kuona
Kuna makundi mawili (tuyaite kundi A na B)

Kundi A
Ni lile ambalo lipo salama bado hawajapatwa na maambukizi, ni kundi ambalo wanaharakati wa kujiepusha na huu ugonjwa, ni kundi ambalo wana shuhuda nyingi kwa kujionea ndugu jamaa na marafiki waliosemekana wameondoka na huu ukimwi

Kundi B
Apa unapata kuona yapo makundi mawili (tuyaite i na ii)
i) Hili ni kundi ambalo halina maambukizi lakin wanasababu nyingi na za msingi katika huu mjadala, ni kundi ambalo wanatuliza akili na kugundua kuna namna hazipo sawa na huu ugonjwa (ni vyema tuwazingatie hawa watu)


ii) Hili ni kundi ambalo kwa namna moja au nyingine wana upungufu wa kinga mwili, lakin hawana ukimwi ni kundi ambalo halipo tayari kupewa jina la ukimwi katika upungufu wao wa kinga, na mara nyingi ukifatilia unaona huu ugonjwa ndio unatabia hizi kukataa matokeo na ubishi usio na msingi

Napitia comments nyingi iwezekanavyo kuna kitu watanzania mnajua lazima tukiweke wazi
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…