Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Haya maneno yameshika kasi sana miaka hii ambayo upatikanaji wa ARV umekua mkubwa na hata virusi vyenyewe vimefubazwa. Nikiikumbuka Ngoma ya miaka ya 90 na 2000 mwanzoni sidhani kama ungepata ujasiri wa kuuita uzembe wa kula, hali ilikua mbaya kabla ya vile vidonge. Kuhusu utofauti wake na virusi vingine ni kuanzia muundo na maisha yake, lakini pia hakuna ugonjwa wowote wa virusi unaotibika, magonjwa yote ya virusi yanatakiwa kujidhibiti menyewe (self limiting) isipokua yale yanayojichanganya na mfumo wa mwili kama Ukimwi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Kuna uwezekano kuwa UKIMWI ni man made na kuna viashiria vingi tu vinaniambia hivyo....
1.kwa sasa kuna kampuni ya wayahudi ipo USA(https://www.gilead.com/ )inadawa za kuzuia,kuponya na kinga pia ......kwenye ARV wana just kidonge kimoja kwa siku na baada ya miezi michache wanaokula hiki kidonge VIRUS wa HIV wanapotea na ata ukitest awaonekani ila wanakuambia usiache dawa zao...
2. Waisrael MOSAD waliwai mchoma mwarabu mmoja sindano ya Virus (mambo ya ujasusi na kulipuwa mabomu kati ya waisrael na warabu) huyu Mwarabu akawa na Gonjwa lisilotibika... Israel ilipobanwa na kushinikizwa juu ya huyu Mwarabu walie mchoma sindano ya virus kwa siri... walituma doctor na ant dote akamchoma jamaa na jamaa akapona.....
ni kweli kuna more than HIV Virus ...kwenye AIDS issues.Hope there will be a day ukweli utakuja julikana
 
mwalimu nyerere alisema moja ya adui yetu mkubwa ni ujinga,, samahan mtoa maada nadhan unaye huyu adui ,, na nakushauri usipende kujarbu kuaminisha watu kwa kitu usichokijua na kuwa na utaalam nacho'''

UKIMWI unaweza sababishwa na vitu vingi sana na sio VVU pekee na VVU ndo kwa wakati wa sasa inasababisha hyo upungufu wa kinga mwilin kwa kushambulia kinga za mwili;;;

hao wa dudu huwa wanapimwa maabara kuangalia wapo kiwango gani mwilin mwako
(viral load ) na wa mtu alie na virus itaonyesha asienavyo haionyeshi hao viral load ,, nakuuliza km ulisikia wapi kuwa HIV hawapo? , kiufupi ni mdudu anaeonekana kweny kifaa kinaeitwa electron microscope na hyo sababu huwa ni wadogo sana kuonekana kwenye microscope za kawaida km wadudu wengne




my take usitumie ujinga wako kupotosha watu tafuta wataalam wakuelmishe kwanza ndo maana kukawepo na shule ,,,,,
 
Wewe ndo huelewi mpaka kaangalie interview za watu wa mwanzo kabisa maprofessa waliogundua huyo kirusi wa ukimwi mwenyewe anasema huyo kirusi hayupo

Kuna siku moja niliandika hivi:

"Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system" Na hata ukimfuatilia Prof.Duesberg(virology machine) anayepinga kuhusu HIV naye alishasema hivihivi.Huyu mungu wao anathibitisha tu maneno ya Duesberg ambayo mwanzo aliyakataa,sasa hivi anaona aibu.

Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.

1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water

Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.

Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)

Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.

Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"

Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.

Haya sikiliza sasa;

"

Pamoja na hayo yote,hakuna virus anayesababisha ukimwi.Watu wanashindwa tu kuunganisha dots za maelezo niliyotoa kwa kuwa labda ni mengi sana na hayako kimpangilio kutokana na mjadala ulivyo.Hata wenyewe waliogundua huyo HIV feki wanajua kwamba HIV hasababishi ukimwi na ndio maana kuna wakati wenyewe kwa wenyewe wanapingana.Nitakuleteeni video nyingine inayoonesha kwamba wanapingana halafu ninyi wenyewe muamue.
Na ndio maana huyu mgunduzi alikubali kusema tu hayo lolote na liwe maana ndio ukweli wenyewe.Wengine wanasema HIV peke yake hawezi kusababisha ukimwi,anahitaji co factors,ilihali wengine wanasema HIV peke yake anaweza kusababisha ukimwi bila co factors,nitawaleteeni hiyo video.Unaona sasa penye ukweli uongo hujitenga?

Watu wanaogopa ukimwi kwa sababu ya kasumba tu,neno hili limewaingia vichwani mwao kwa kurudiwa mara kwa mara huku wakioneshwa video za kutisha za wagonjwa bila kujali uhalisia kwamba mgonjwa alikuwa anaumwa nini hasa.Watu wanaogopa kitu ambacho kilikuwapo tangu kabla ya kutangazwa kwa HIV,eti kwa sababu wameambiwa HIV anasababisha ukimwi ndio wanaugopa sasa,kumbe ulikuwapo tangu zamani na hautishi na unatibika kirahisi na wakati mwingine unaondoka wenyewe bila ya wewe kujijua,ukibalisha lifestyle tu uko poa.

Sasa Je,

1.Kuna daktari hapa kwetu anaweza kukwambia kama unaweza kuwa na HIV(feki) lakini kinga ya mwili wako inaweza kumdhibiti na kumtoa kama alivyosema huyu mgunduzi?Vinginevyo wapinge kwamba huyu sio mgunduzi.

2.Huyu mgunduzi anakwambia "people always think of drugs and vaccines" anaposema drugs anamaanisha ARVs kwa maana ndizo zinazotumika kwenye AIDS.Na maana yake nyingine ni kwamba,huwezi kuwa na HIV kama kinga yako iko safi.

Sasa kama mnatakata kujithibitishia wenyewe,muulize daktari yoyote bongo kama anaweza kukubali hayo aliyosema mungu wake.Hapo ndipo utakapoona kwamba kasumba ni kitu kibaya sana.




Ndio sisi tulivyo,tunakimbia HIV tunakimbilia ARVs ambazo ndizo mziki mnene wenyewe.Hivi vitu watu hawawezi kuvielewa mara moja mpaka kwanza wajue historia ya medicine na viwanda vya madawa ikoje.Hapo ndio watajua kwamba watu hawana masikhara kwenye biashara.

Mgunduzi mwenyewe anakiri seuze wewe mwenzangu wa huku tandale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kirusi cha VVU kinafananaje mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi ni Ugonjwa wa Akili...
Wajanja wazungu wafanyabishara..wakautangaza kwa vitisho watu wakapokea vitisho vikaingia mioyoni mwao.
Na ndio maana ukiambiwa tu unao then ndio unaanza kuumwa kwa kasiiiiiii!!!! Sababu unaumwa kwa uoga(tayari washakupa ugonjwa wa uoga) akili inaanza kulika then mwili unafuata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nmeona umekubali katika maelezezo ya mtaalam wako unaemuamin kuwa kirusi kipo , lakn mwanzon ulipinga hakipo kumbe mtaalam wako anasema kabsa unaweza kuwa infected na immune yako ikakiondoa bas had hapo nadhan mwenyew unakubali ukimwi upo
 
Nenda hospital mkuu kwenye wodi ya waathirika af uulize kinachowasumbua ni kitu gani wakati hakuna ngoma...
Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Hapo hapana mwenyezi Mungu,ni kwamba hakuna kitu kinaitwa HIV.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
hahaah ushawahi kwenda kwa daktari kupima malaria afu baadae akakuonyesha huyu ndio mdudu anaesababisha malaria? do sijui unafikiria kutumia nn au unajipa matumaini,
 
Huyo jamaa nahisi ka RIP kwani ni muda mrefu sana haonekani humu
Isije kuwa watu wasiojulikana walifanya yake maana kwenye ule uzi jamaa ni shida sana na anaongea kwa FACT. Hizi biashara za watu ukileta ujuaji unaweza potea hivuhivi.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Hakuna tunachoambukiZana but wazungu wanatuua kisaikolojia!very sad!!
Leo ukaenda kupima na ukaambiwa umeathirika huchukui round CD4 zinashuka kwa kasi sana na hapo lzm uanze kuumwa magonjwa ya ajabu ajabu na Mwisho unaambiwa kumuepuka Israel tumia ARV. So ni kitu kinachoanza na psychology na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya psychology na mfumo mzima wa kinga mwilini.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Fahamu kwanza CD4 & CD8 how they work
Usipende kulishwa maneno ya kitaa
 
Hivi si wanasema virusi kwa ujumla wake wana maumbo yanayobadilika badilika kila mara??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah, we kama una ndugu daktari muulize hivi virus anafananaje?Akikupa jibu nitag

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kitabu hiki kimeelezea Uhuni wa kitu kinachoitwa HIV/AIDSView attachment GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdf

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kama uamini nenda hospital tafuta mwenye ukimwi akuongezee damu yake,baada ya mwaka rudisha uzi wako huu mkuu
Hapo mkuu utaongezewa damu ambayo ina maradhi mbalimbali kama TB,malaria, Kansa, Kisukari nk na yote haya yanasababisha CD4 zishuke. So utakachoumwa sio AIDS utaumwa hayo magonjwa. NB,HAKUNA ugonjwa unaoitwa UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…