Asante kwa linkKwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:
Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
OK sawa kwa ushirikano kama EA je sisi hatuna alternative kwa kununua? Huoni Kenya atakuwa amempoteza mteja mkubwa?Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:
Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
Wakenya hawatutishi kabisa tunawamudu sana tu na kuanzia kesho tunaanza kuwaorodhesha wote walioko TZ ili ikibidi tuwarudishe kwao. Jino kwa jino hawawezi kutufundisha jinsi ya kushughulikia corona nchini mwetu.
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae
Hiyo trade deficit inatosha kuonesha kama Kenya atapoteza sanaTanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
Naona sabuni na dawa tunategemea kenya. Na huu ndio muda mahitaji ya sabuni na dawa yako juu
You are not informed Zambia wameshafungua, Rwanda wameshakubaliana na TZ na hakuna kuwapima madreva watz bali watapimwa TZ tu. Uganda ni ndugu zetu hawawezi funga mpaka tumetoka mbali nao tuliwasaidia kumng'oa Nduli. Ngoja tuwashughulikie hawa nyang'ao kwanza!!Total isolation
Na biashara ulikua unauza Kenya utauza wapi?
Unadhani unaanza kuuza chochote mahali popote just over night?
Wafanyabiashara ambao hii ndio kazi yao mlisema “wataishi kama mashetani”!
Unadhani kujenga market ni overnight tu?
Plus Zambia inefungwa!
Kinachofuata ni Rwanda,Uganda,etc!
Ramaphosa upande wa Sadc huko kam-mind jamaa yenu,wakipitisha resolution hauzi chochote popote!
Tutauziana wenyewe humu ndani,kwa hela ipi?Na dola unazipata wapi bila exports?
Nyie ni lunatics ujue!
Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:
Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
Kenya ilikubwa na nzige kwenye mahitaji ya chakula wanaweza kubwa na upungufu muda wowote!Hapa naona kama Kuna ligi kati ya Kenya na tz
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Acheni ujinga, tumieni Muda huu kutafuta Masoko ya bidhaa zanu nje!Hii habari Kuna kitu hakipo sawa
Mbona maneno ni yaleyale waliosema ametamka Waziri Ummy
Sasa yamehamishiwa kwa RC
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kuna hii tena nayo kanusheni.
View attachment 1452759
Mkuu MO anatengeza kila bidhaa za vyakula zinazofanana na zile za Kenya, huu ni wakati mzuri wa viwanda vyetu kuliteka soko la ndani.Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.
Usiogope sana mwanangu!, hiyo ndio dawa ya kupambana na wakenya. Mwaka 1977 walianza ujinga kama huu mchonga akawakazia mpaka wakashika adabu, inaonekana wameisahau Tanzania siku hizi.Hii kufunga mipaka msichukulie poa
Watu wengi wataathirika
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Shellys, Mansoor Daya wanatengeneza bidhaa aina ya Panadol, Mo anatengeza karibu bidhaa zote za Kenya zilizojaa sokoni, kifupi wanajinyonga wenyewe kama tukiamua kukaza pia, mimi nashauri tukaze kabisa ili tuimarishe viwanda vyetu.Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.
Kama niivyo sawa mkuu,maana nilihisi anajichimbia shimoHatumbuliwi MTU ameshapewa maagizo afunge mpaka magari ya Kenya yasiingie Tanzania.
You are not informed Zambia wameshafungua, Rwanda wameshakubaliana na TZ na hakuna kuwapima madreva watz bali watapimwa TZ tu. Uganda ni ndugu zetu hawawezi funga mpaka tumetoka mbali nao tuliwasaidia kumng'oa Nduli. Ngoja tuwashughulikie hawa nyang'ao kwanza!!