Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:

Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
Asante kwa link
 
Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:

Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
OK sawa kwa ushirikano kama EA je sisi hatuna alternative kwa kununua? Huoni Kenya atakuwa amempoteza mteja mkubwa?
 
Wakenya hawatutishi kabisa tunawamudu sana tu na kuanzia kesho tunaanza kuwaorodhesha wote walioko TZ ili ikibidi tuwarudishe kwao. Jino kwa jino hawawezi kutufundisha jinsi ya kushughulikia corona nchini mwetu.

Total isolation

Na biashara ulikua unauza Kenya utauza wapi?

Unadhani unaanza kuuza chochote mahali popote just over night?

Wafanyabiashara ambao hii ndio kazi yao mlisema “wataishi kama mashetani”!

Unadhani kujenga market ni overnight tu?

Plus Zambia inefungwa!

Kinachofuata ni Rwanda, Uganda, etc!

Ramaphosa upande wa Sadc huko kam-mind jamaa yenu,wakipitisha resolution hauzi chochote popote!

Tutauziana wenyewe humu ndani, kwa hela ipi? Na dola unazipata wapi bila exports?

Nyie ni lunatics ujue!
 
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae

Wao ndiyo watakao umia, maana soko la products zao asilimia kubwa lipo huku.

wao wawazuie watu wetu wa malory kuingia kwao, wewe unaona sawa? Ila sisi tukiwazuia madereva wao kwako unaona kutakuwa na shida. Waulize wakenya na majirani wengine, wanafuata nn kwny nchi yenye korona?

tuingie makulabiano tu, mzigo kutoka kenya, nq nchi jirani mwisho boda, pale wanafaulisha malory yetu yanabeba kuingia nchini. Tukipeleka kitu kwao, tunafaulisha boda, kisha wao wanabeba kutokea hapo
 
Total isolation

Na biashara ulikua unauza Kenya utauza wapi?

Unadhani unaanza kuuza chochote mahali popote just over night?

Wafanyabiashara ambao hii ndio kazi yao mlisema “wataishi kama mashetani”!

Unadhani kujenga market ni overnight tu?

Plus Zambia inefungwa!

Kinachofuata ni Rwanda,Uganda,etc!

Ramaphosa upande wa Sadc huko kam-mind jamaa yenu,wakipitisha resolution hauzi chochote popote!

Tutauziana wenyewe humu ndani,kwa hela ipi?Na dola unazipata wapi bila exports?

Nyie ni lunatics ujue!
You are not informed Zambia wameshafungua, Rwanda wameshakubaliana na TZ na hakuna kuwapima madreva watz bali watapimwa TZ tu. Uganda ni ndugu zetu hawawezi funga mpaka tumetoka mbali nao tuliwasaidia kumng'oa Nduli. Ngoja tuwashughulikie hawa nyang'ao kwanza!!
 
Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:

Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of

Maanake, wamekolect revenue nyingi kuingiza kwenye uchumi wa Kenya, hivyo kwa mfano wako huo wao ndio wanufaika kwa kuuza kwetu, hivyo tukifunga wao ndio wataumia kuanzia ajira za wafanyakazi wa viwanda na malory
 
Taarifa Kama hii neno kwa neno ilimnukuu Waziri wa Afya.
 
Hii habari Kuna kitu hakipo sawa

Mbona maneno ni yaleyale waliosema ametamka Waziri Ummy

Sasa yamehamishiwa kwa RC

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga, tumieni Muda huu kutafuta Masoko ya bidhaa zanu nje!

Wakenya, wanganda wananunua bidhaa za mazao Tanzania nakuzisafirisha nje! Ninyi kazi yenu ujinga na ushabiki! Badala ya kutumia huu muda kujiimarisha! Mtabaki masikini na maneno tu!
 
Kenya wametangaza kufunga mpaka na Tanzania, wameruhusu bidhaa ziendelee kuingia kwa kuwa wanazo nyingi ziingiazo Tanzania lakini hawataki madereva wa kitanzania kuingia Kenya. Huu ni ujinga uliopitiliza kwa upande wa Kenya, wamejivika kitanzi wenyewe kwa kuwa biashara zao za vyakula vilivyosindikwa zitadoda. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro amefanya yake, anastahili pongezi, lakini mpaka huo ufungwe tu.

Kenya na Msumbiji wakiamua wao kufunga mipaka yao, tuwajibu kwa kufunga mipaka yetu pia, kwa nchi kama Zambia, Malawi,Burundi, Rwanda na Uganda wakileta zao isiwe shida, tusiwafungie mpaka ila tuwasogezee mizigo yao kwenye bandali kavu huko huko kwenye mikoa inayopakana nao ila waje wachukue mizigo hiyo pale mpakani kwa gharama zaidi kwa kuletewa mizigo yao mpakani,.... Kama wanamwaga ugali, tumwage mboga tu!.

DRC ni chimbo tofauti, namna bora ya kufanga nao biashara ni kulitumia ziwa Tanganyika ipasavyo kwa kuzijengea uwezo bandali za Kigoma Kipili na Kirando ili kuziunganisha na Kalemie upande wa DRC.
 
Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.
Mkuu MO anatengeza kila bidhaa za vyakula zinazofanana na zile za Kenya, huu ni wakati mzuri wa viwanda vyetu kuliteka soko la ndani.
 
Hii kufunga mipaka msichukulie poa
Watu wengi wataathirika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Usiogope sana mwanangu!, hiyo ndio dawa ya kupambana na wakenya. Mwaka 1977 walianza ujinga kama huu mchonga akawakazia mpaka wakashika adabu, inaonekana wameisahau Tanzania siku hizi.
 
Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.
Shellys, Mansoor Daya wanatengeneza bidhaa aina ya Panadol, Mo anatengeza karibu bidhaa zote za Kenya zilizojaa sokoni, kifupi wanajinyonga wenyewe kama tukiamua kukaza pia, mimi nashauri tukaze kabisa ili tuimarishe viwanda vyetu.
 
You are not informed Zambia wameshafungua, Rwanda wameshakubaliana na TZ na hakuna kuwapima madreva watz bali watapimwa TZ tu. Uganda ni ndugu zetu hawawezi funga mpaka tumetoka mbali nao tuliwasaidia kumng'oa Nduli. Ngoja tuwashughulikie hawa nyang'ao kwanza!!

Utawashughulikia kwa lipi ulilonalo?

Uchumi mbovu

Kila kitu kibovu

Viongozi wenu wabovu,etc

Zambia ni closed,kadanganye watoto huko!

Hawa watu hawataki muwapelekee Covid-19,mnawalazimishia kuingia nchi zao nyie kama nani?

EA hawa viongozi wakikutana tena wakipitisha azimio TZ na Burundi kua locked out,ni locked out mnakua na sio eti ndugu zetu na blah blah za kipumbavu!

Ndugu zako walizaliwa na nyie?

Fuata guidelines kama wengine,sio unaleta kiburi halafu uachiwe sababu wewe ni bwana mawe,no one gives a fvck!

Fuata guidelines!

In two weeks ngoja akina Kagame,Uhuru,Museveni na Kiir wakutane tena muone,fungia kushoto huko!

Hamna la kufanya....

TZ is not an economic powerhouse like Kenya,na ukiongeza UG,RW na SS,we are loosing here....stop mustabation!
 
Back
Top Bottom