Hiyo ni habari ya kutoka kwa Magufuli kwenda kwa RCs wa Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha. Ummy aliikanusha maana haimuhusu yeye. Ni kama hasira hivi ya kulipa kisasi.Hii habari Kuna kitu hakipo sawa
Mbona maneno ni yaleyale waliosema ametamka Waziri Ummy
Sasa yamehamishiwa kwa RC
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana wewe ndio msaidizi wa dada Ummy.Hiyo ni habari ya kutoka kwa Magufuli kwenda kwa RCs wa Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha. Ummy aliikanusha maana haimuhusu yeye. Ni kama hasira hivi ya kulipa kisasi.
Hawa kina Mama kuna mtu anawaambia wajiaibisheHabari za BBC hivi sasa sio za uhakika,
Ummy mwalimu katuka kukanusha habari zao mda si mrefu.
Safi kabisa!Haya kuna hii tena nayo kanusheni.
View attachment 1452759
Haya kuna hii tena nayo kanusheni.
View attachment 1452759
Kwani sisi tunahitaji nini toka Kenya. Funga kabisa!Hawa kina Mama kuna mtu anawaambia wajiaibishe
Sasa kuna kosa gani? Kwanini nyie wakenya mlisema Ummy?Haya kuna hii tena nayo kanusheni.
View attachment 1452759
Bandari ya Mombasa ina mizigo mingi ya Watanzania ambayo hupitia HoliliKwani sisi tunahitaji nini toka Kenya. Funga kabisa!
Mwamba amehutubia bwashee?