G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hiyo ni habari ya kutoka kwa Magufuli kwenda kwa RCs wa Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha. Ummy aliikanusha maana haimuhusu yeye. Ni kama hasira hivi ya kulipa kisasi.Hii habari Kuna kitu hakipo sawa
Mbona maneno ni yaleyale waliosema ametamka Waziri Ummy
Sasa yamehamishiwa kwa RC
Sent using Jamii Forums mobile app