Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Viongozi wetu wasipokuwa makini na matamshi yao,na kusahau kuwa kuna maisha baada ya corona, badala ya kupambana na corona, wataanza kupambana wenyewe kwa wenyewe.
 
Tabia za kiongozi wetu zinaonekana kwenye hayo matamshi, naamini yeye ndie atakuwa amewaagiza hao "subordinates" wake wazuie hayo malori.

Halafu akiwa anahutubia kanisani anaonekana mnyenyekevu, kumbe moyoni amejaa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani sisi tunahitaji nini toka Kenya. Funga kabisa!
Bandari ya Mombasa ina mizigo mingi ya Watanzania ambayo hupitia Holili
Mizigo mingi ambayo inakuja kulipiwa kodi Holili
 
Back
Top Bottom