Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

wewe mwenyewe ulisema utaleta mrejesho wako hiyo safari yako ya kusaka utajiri hapa-mpaka sasa kimya.
...wewe pia ni muongo na mnafki pia!
 
Mkuu Jimena mara nyengine mtu huleta story fulani hivi ya kutunga na akavaa uhalisia kama yeye ndo staring wa hiyo story, lakini mwisho wa siku ni kutaka tu kuburudisha wana jf na pia kupunguza stress kwa baadhi yao, kwa hiyo binafsi mwanajf mwenzetu chizi maarifa iwe halisi au fiction itakuwa imetufikia na pengine tukapata pia mafundisho ndani yake.
Kwa hiyo usishangae kila story anayoleta yeye ndio muhusika wa hiyo story.
 
Na kinachofanya uhisi haya hajayapitia ni nini....haya maisha watu wanazunguka na wanapitia mengi chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…