Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Hivi mkuu Chizi Maarifa mkasa huu ulikutokea kabla ya ule wa wewe kugombea demu na jini au??

Maana kwenye ule uzi ulisema we umekulia sinza na maisha yako yalikuwa mazuri tu na ulikuwa unapush....
Hapa umekulia huko vijijini au mi ndio ambae sielewi vizuri???
Mkuu tunatungiwa tu ili tufurahi akina sis wenye stress zetu. Yan n wachache wanaotoa true story😆😆😆
 
Kulikuwa Kuna ule uzi wa jamaa alienda kwa binamu take aliye olewa na mganga,akawa msaidizi wa mganga...
uliendelea, siuoni. Kama una link naomba tafadhari
 
Tafadhali usitafute utajiri kwa kumtesa binadamu! Jitese mwenyewe hata nyakati za mwisho Mungu atakusamehe. Kivipi? Kutokuvaa viatu maishani hata chooni ni pekupeku, kutokulala ndani ya nyumba ya gharama, kutokuwa na mtoto maishani, na mengi kulingana na sangoma wako. Watu hawataki kujitesa ila "kutesa " .
hii ya kutokua na mtoto unapatikana wap
 
Back
Top Bottom