Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Nina homa Kali toka jana. Hata usiku sikuweza lala. Nikiwa vizuri ntaendelea.leo sijaweza enda hata kazini.

Wewe jamaa umetelekeza uzi wako hapa wa kutunga umeenda kuanzisha mambo mengine tena huku ukisingizia kuumwa

Yaani huyu jamaa muongo haswa. Mara alikulia Sinza mara Wazungu. Hapa tunadanganywa tu nadhani stori imefika ukomo.

Chekini alichaonzisha jana tena

Thread 'Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu' Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu
 
Distant Relatives hii ni album moja kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…