Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Shida ya simulizi za redioni ni mtu kukatishwa kila baada ya dakika 5 na muda wa kipindi mfupii..na mtangazaji kumkatisha kwa maswali! Na msimuliaji kuruka baadhi ya "scene" kama mapenzi aaarrrh!
Radio Free wako vizuri, Magasha anamuacha msimuliaji anatiririka kama dakika 10 hivi ndio anaweka tangazo. Shida iko Clouds ile wanaita sijui Njia Panda kila dakika mbili tangazo. Clouds kweli ni ubao wa matangazo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom