Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Norshad malizia hii story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapeliwa Milioni 1.5 Kimara Daraja la mwendo kasi.

Ilikuwaje?

Kuna dada alikuwa anatembea kwenda kupanda daraja akiwa uelekeo wa barabara ya lami ile inayoelekea Mbezi ili akapande daraja la mwendo kasi. Mara gari aina ya Vitz ikapaki karibu yake, siti ya nyuma kakaa bibi kama wa miaka 60-70 hivi. Bibi anaongea kingereza cha kiganda. Akamwambia ninashida na kama unajua kingereza unaweza kunisaidia Mimi mgeni hapa Tz. Dada akasema anajua kingereza basi wakamwambia ingia ndani ya gari twende tuongee.

Gari ikazungushwa upande wa pili wa Barbara njia ya Dawasco kuna bar wanauza supu wakakaa wakawa wanakunywa supu wote yule bibi na jamaa wawili na Dada wa nne.
Bibi akaanza kumuongelesha yule mdada kuhusu kwenda kubadilisha pesa ( dola) kuwa kt k Tsh.

Hoja ya bibi ni kuwa yeye ni mgeni na hajui benki ya karibu ilipo na anaogopa atadhulumiwa kwa kuwa wao siyo wazawa na ni wageni kabisaa hapa Tz ukizingatia mambo ya Magu hivyo wanahitaji mtu mTz mwaminifu awasaidie kuwabadilishia madola yao mengi bila kufatiliwa na Magu. Akiwasaidia watampa millioni tano.
Dada kasomeshwa akaelewa somo. Akaanza kuwaambia hapa kimara kuna benki ya posta ipo kwa mbele pale karibu na njia ya kwenda Dawasco au Matangini...

Akamwambia basi kama ndo hivyo we nenda kabadilishe utatukuta hapahapa...Dada akapewa bahasha imetuna sana uzito pesa ikiwa imefungwa. Ile Dada anataka kunyanyua handbag yake tu...yule kaka mmoja akasema si tupo hapa utatukuta...mbona sisi tumekuamini kwa hela zaidi ya million 40 we unashindwa kutuamini kwa kibegi tuu...
Sasa kwa sababu siyo mbali na benki Dada akaona sawa tuu...yaani anatembea huku anaangalia angalia nyuma...sasa kafika pale benki kuna kijibanda cha mlinzi. Akaona ajibanze pale pale nje kabla ya kuingia ndani benki afungue ile bahasha atizame madola kabisaa....ile anafungua bahasha akakutana na makaratasi ya kaunta buku yamekatwa size ya dola...si ndo anasema awawai pale bar...yaani kabla ya kufika pale haoni ile Vits...akakimbia kwa speed...kufika bar hamna bibi wala wale vijana...anauliza wakamwambia yaani ile unatoka tuu nao wameingia kwenye gari...kuelekea uelekeo wa mjini...ikabaki story.....
Dada akawa kaachwa na tobo la Milioni 1.5 kama mchezo asubui ile.

Nb

Tukio limetokea mwaka jana November Kimara, DSM.


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Walijuaje Huyo dada ana hizo Million??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe upo Dom nikija ntakusaka namie unitapeli

#bamia_ndefunene
 
Mkuu kuimalizia napenda lakini inahusisha mambo mengi meusi niliyopitia ktk utaftaji, acha tu mkuu ibaki hivyo
Malizia tu tafadhali... Kuna funzo na uzoefu watu wanaweza kupata....

Jr[emoji769]
 
Hahahahajahaha khaaaa una kisasi na mm
Usijione mjanja, kwa taarifa yako mademu wasumbufu kama nyie ndio mnafanyya wanaume Wanawasugueni kwa VUMBI LA MKONGO, KULIWA 0713 au kukupigeni mtungo wa mtu 3 ili tabia zenu zikome. Dawa yako inachemka sooon nakwambia achaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…