Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Hawa wassenge nimewavulia kofia!
Kuna jamaa yetu fala sana !Alitapeliwa na jamaa wa kujiita freemason!...
Ni hivi jamaa yetu alikua yuko vizuri sana sasa kuna siku freemason feki wakaja ofisini kwake(anauza mbao)na bonge la ndinga!Kufika wanataka mbao wakauziana pale then wakaachiana contacts(hapa ndio mission inaaza)Huku na kule wanawasiliana wakamwambia je unapenda kufanikiwa zaidi,jamaa kasema ndio.wakapanga miadi siku mamason wanafika wakamwambia sisi ni member wa freemason ndio maana tuna mafanikio tele so na wewe kama unataka tutakufikishia ombi lako kwa mkuu wetu wakapamtia 10m cash kwamba ndio wanamkaribisha ila hadi wapate kibali kwa mkuu!Jamaa yetu kuona zile m10(hapa walimtibua vuzzi) akajua hawa ndio mason wenyewe kumbe bwege anapigwa!Siku ya siku wakaja wakamwambia ombi lako limejibiwa vizuri tena ila bank una Tsh ngapi coz inatakiwa tukachanganye hela zote ndio ijulikane utaongezewa kiasi gani .Jamaa karopoka ana m70 ,wakamwambia aongeze zifike m100 ili zikienda kuchanganywa apate 1billion!!!Hapa jamaa hakupoteza mda akaenda kudro mpunga wote na kuuza nyumba ndani ya siku mbili jamaa wakaja kuchukua mpunga wao jamaa akitegemea bilioni moja!Toka siku ile hawajawai kupatkana kwenye simu na jamaa kawa pumb.u no mia!!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Jr[emoji769]
 
Miaka ya 2000 mwanzoni tuliwahi kulizwa na wazee wa kazi.

Mzee alikuwa ana duka la kuuza baiskeli na spea zake. Basi siku ya siku jamaa wakaja wakamkuta mzee wakamwomba kama anazo shilingi moja moja awatafutie watazinunua 1 kwa sh 20, mzee akazisaka mule dukani akapata kadhaa, maana kipindi hicho zilishaacha kutumika.

Wakazinunua akapata kama 15,000/-, basi wakamwambia awakusanyie watakuwa siku fulani, walipokuja walikuta kakusanya nyingi kidogo, wakanunua, alipata kama 250,000/-.

Mzee akaambiwa akusanye zaidi maana kuna wazungu ambao wanazihitaji sana, wanataka mzigo mkubwa, kwamba kuna vito wanatumia kutengenezea.

Basi kwenye kutafuta mzee akakutana na mtu ambaye alisema anazo ila anauza kwa bei ya sh 10 kila moja maana dili limeshajulikana kwamba anauza kwa 20. Akanunua mzigo wa almost 900,000/-, maana kuna shamba aliuza kuongezea hela. Hapo alitegemea faida mara 2.

Jamaa hawakurudi tena, ikaja baadae kugundulika wale jamaa waliomuuzia mzigo wa mwisho ndiyo hao hao walionunua kwake mwanzoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Kuna jamaa mmoja Tapeli mbobevu kuna siku nikipewa story full nitaweka story yake hapa.

Ila in short jamaa yupo kituo kukubwa cha polisi maeneo ya mbezi as we speak. Katapeli Morogoro, Iringa anatafutwa na Sinza katapeli gari kama 6 hivi.

Mwenye access afatilie kesi ya huyu jamaa nimesikia ipo Gogoni hapo Mbezi. Mshana Jr

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Ukinipa RB no au jina lake naweza kufuatilia

Jr[emoji769]
 
Enzi hizo za blue blue, elfu kumi ya blue, magazeti yalikuwa yanauzwa 100 - 200 tsh! Tunaelekea mkoa tupo kwenye kiswele siti ya nyuma kabisa, tupo ubungo jamaa akatoa blue apewe magazeti ya 500 jumla, nipashe, kasheshe majira sanifu dimba! Muuzaji akadai hana change, akaomba amwachie magazeti akatafute change! Boss akaachiwa mzigo wote wa magazeti ya siku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo za blue blue, elfu kumi ya blue, magazeti yalikuwa yanauzwa 100 - 200 tsh! Tunaelekea mkoa tupo kwenye kiswele siti ya nyuma kabisa, tupo ubungo jamaa akatoa blue apewe magazeti ya 500 jumla, nipashe, kasheshe majira sanifu dimba! Muuzaji akadai hana change, akaomba amwachie magazeti akatafute change! Boss akaachiwa mzigo wote wa magazeti ya siku!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
JAmaa kaingia kanisani nA mAtunguri na kAratasi za kiarabu na tuchupachupa. Anasema kampokea Yesu. Alikuwa mganga, jambazi na amekabidhiwa mikoba ya ukoo mzima. Kila mwaka anaua mtu kama kafara ya ukoo. Ujambazi ulimpeleka jela ndiko alipomuona bwana Yesu kwenye njozi anang'aaaa saana akamwambia ukitoka jela nenda kajisalimishe kanisa lile.

Alifanikiwa kutushika masikio wadau , tukamsuport mavazi na fedha kidogo, tukachoma Kwa Maombi na nyimbo ile uchawi wake. Mara paaap mama mmoja anakumbuka sura hiyo hiyo imewahi kuja kwa gia hiyo hiyo miaka minne iliyopita. Mara paaap jamaa aliyemuona huyo bingwa makanisa tofauti zaidi ya mawili na swaga hizohizo. JAmaa kuitwa kikao akajua kishanuka. Akatokomea kusiko julikana. Kabla hajadukulika jAmaa alikuwa na bidii kuliko hata mchungaji kwenye kuwahi, utadhani alikuwa na PHD ya time management. Kuja kupata file lake ni muhuni wa buguruni na wako wengi wanatumia huruma za waumini na uroho wa miujiza kutapeli makanisani. Kuna mtandao mwingine wa wizi wa simu na mikoba makanisani. Waliwekewa mtego na mashemasi mrembo mmoja akakamatwa msalani akiwa anaichimbia ili aondoke. Hii ilikuwa baada ya wizi kukithiri kumbe ni jamaa wanazunguka makanisani kuiba vitu vya waumini
 
Enzi hizo za blue blue, elfu kumi ya blue, magazeti yalikuwa yanauzwa 100 - 200 tsh! Tunaelekea mkoa tupo kwenye kiswele siti ya nyuma kabisa, tupo ubungo jamaa akatoa blue apewe magazeti ya 500 jumla, nipashe, kasheshe majira sanifu dimba! Muuzaji akadai hana change, akaomba amwachie magazeti akatafute change! Boss akaachiwa mzigo wote wa magazeti ya siku!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akawa ameshauza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAmaa kaingia kanisani nA mAtunguri na kAratasi za kiarabu na tuchupachupa. Anasema kampokea Yesu. Alikuwa mganga, jambazi na amekabidhiwa mikoba ya ukoo mzima. Kila mwaka anaua mtu kama kafara ya ukoo. Ujambazi ulimpeleka jela ndiko alipomuona bwana Yesu kwenye njozi anang'aaaa saana akamwambia ukitoka jela nenda kajisalimishe kanisa lile.

Alifanikiwa kutushika masikio wadau , tukamsuport mavazi na fedha kidogo, tukachoma Kwa Maombi na nyimbo ile uchawi wake. Mara paaap mama mmoja anakumbuka sura hiyo hiyo imewahi kuja kwa gia hiyo hiyo miaka minne iliyopita. Mara paaap jamaa aliyemuona huyo bingwa makanisa tofauti zaidi ya mawili na swaga hizohizo. JAmaa kuitwa kikao akajua kishanuka. Akatokomea kusiko julikana. Kabla hajadukulika jAmaa alikuwa na bidii kuliko hata mchungaji kwenye kuwahi, utadhani alikuwa na PHD ya time management. Kuja kupata file lake ni muhuni wa buguruni na wako wengi wanatumia huruma za waumini na uroho wa miujiza kutapeli makanisani. Kuna mtandao mwingine wa wizi wa simu na mikoba makanisani. Waliwekewa mtego na mashemasi mrembo mmoja akakamatwa msalani akiwa anaichimbia ili aondoke. Hii ilikuwa baada ya wizi kukithiri kumbe ni jamaa wanazunguka makanisani kuiba vitu vya waumini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom