Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Ina maana alikupa pesa ya siku mbili, maana Simba Hotel chumba ni 25,000/=
 
No Sielewi ila nafikiri ni Mrembo huyo Binti. Kwani ina maana gani hasa
Jicho (single eye) haliwezi kuwakilisha bint mrembo. Urembo wa mtu ni sura kwa ujumla wake.
Kwenye mambo ya imani, jicho ni alama inayotumiwa na free masonry na kwa kitaa, jicho haliandikiki mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jicho (single eye) haliwezi kuwakilisha bint mrembo. Urembo wa mtu ni sura kwa ujumla wake.
Kwenye mambo ya imani, jicho ni alama inayotumiwa na free masonry na kwa kitaa, jicho haliandikiki mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hivyo yawezekana ni Free Masonry wananitafuta maana hiyo namba nimeishatumiwa bali nilikuwa nasubiri tarehe 31/2/2019 Boom liingie nimtumie mrembo!!!

Nashukuru umenistua mkuu
 
hahahahahahah
unatisha sana kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai ya maziwa hii mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiombe kukutana na ma alwatan wa pwani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watapeli tu chamdeko, wajinga ndio waliwao, sasa wewe utafanyaje na mapopoma wanajileta wenyewe
Sent using my nokia ya tochi
 
nirudishe vipi sasa na wakati mtu mwenye alivyorudi safari tukawa mabest mpaka leo plus hana shida ya hela kama laki ndio maana alimezea tu. kurudisha hela ni dhambi

Mimi hapo ndio hua mnanishangaza dada zangu. Sasa wewe unachukua laki ya mtu mwenye hela nyingi halafu unakimbia badala ungempa papuchi ungekua unajivutia zako mpunga wa maana kiulainii ungekuta saiz kashakujengea nyumba n.k. Wakati huo huo utakuta kuna kijamaa kinakutafuna bure bure tuu ata hakikupi kitu wewe ndio unakihudumia
 
Nshawatapeli wazungu flani pale Dodoma sijui ndo area D, walikua madogo mascout kutoka Belgium wanataka kupanda simba hill. mtoto wa Dar nkakubali kuchukia kazi kwa malipo ya Dollar ishirini kila mmoja km entrance fees, usafiri Dollar 50, na lunch box Dolla 10 hapo bado hawajanilipa mimi.

Tatizo linaanza baada ya kuuliza sana kwa wenyeji nikapata mjanja mmoja akanambia hapo simba hill kwa chini sio mbali na makazi ya Muheshimiwa Prime so itakua sio rahisi km unavyodhania. nikachekecha mimi sio guide sijawahi somea uguide, sina ata leseni ya uguide nkipanda hapo juu na wageni manjangu wakanishika me ni nani na nafanya nini itakua tatizo na huku wageni wanajua jamaa ni profesional guide.

Ilibidi me na mjanja mmoja wa kondoa ambae tulikua nae hapo Dom tukauze vimilima vingine ambavyo vyote tulisema ni simba hill, hapo zamani simba walikua wanapenda kukaa hapo juu kwenye hayo mawe ndomana pakaitwa ivyo.

tulisikia wanasema this view is breathtaking. tukajua hapa hadi tip tunapewa matapeli. kazi ilienda vizuri wakapata na picha za sunset tukapata mawe yakwenda kuweka heshima bar na watoto wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]utapeli wa kilokole

Jr[emoji769]
 
Kabisa hauna ata madhara kwa aliyetapeliwa karidhika kabisa na service.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]niliwahi kufanya biashara ya maiti... Nikapeleka maiti feki usiku wa manane eneo la tukio nikalipwa changu nikasepa kufika home nimelipwa pesa feki[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]niliwahi kufanya biashara ya maiti... Nikapeleka maiti feki usiku wa manane eneo la tukio nikalipwa changu nikasepa kufika home nimelipwa pesa feki[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mlikutana wote watoto mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…